Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Tatizo lilianza ulipomzungusha miezi mingi mtu ambaye una mpango wa kumkubalia. Mara nyingi wakizungushwa sana wanakata tamaa ila wanazuga zuga wakumege kwanza waone kama kuna maajabu.amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake.
Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli)
Wakikosa maajabu kibao kinageuka unaanza kuzungushwa wewe.
Haya pole.