Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

wowgirl

Member
Joined
Jun 11, 2024
Posts
32
Reaction score
100
Hey guys hope mko poaaa

Huyu mwanaume ambaye nipo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake.

Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli) duuu sijui nini kimetokea tumepishana kauli kidogo tu naona mwenzangu kabadilika.


Sioni text zake wala call zake, zimepita wiki mbili sasa yupo kmya, wiki iliyoisha nimemtext kumpa HI plus kuomba msamaha kwa kitu hata sijui nilichotenda amejibu shortcut sana hadi nikajisikia vibaya.

Sasa na mimi niliamua kukaa kmya leo naona text yake "hey i mic you"

Wanaume mnazingua
 
Pole, yatakaa sawa tuu.
 
Sasa umenuniana na mmoja unatujumuisha na wote, sema mmezinguana, kwahiyo ulitegemea ulichomkosea ukiomba msamaha tu akukubalie chap chap? Ulitakiwa upate joto la jiwe hebu mjibu "I miss you too" muendelee mlipoishia
 
ivi huwa mnapenda kufukuziwa mda mrefu ? mnapima au huwa mnaenda kuwaza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…