Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake.

Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli)
Tatizo lilianza ulipomzungusha miezi mingi mtu ambaye una mpango wa kumkubalia. Mara nyingi wakizungushwa sana wanakata tamaa ila wanazuga zuga wakumege kwanza waone kama kuna maajabu.

Wakikosa maajabu kibao kinageuka unaanza kuzungushwa wewe.
Haya pole.
 
HAta nyie mnazngua tena huenda ikawa zaidi mie kuna mmoja nampigia simu jibu alilonipa dah
 
Mzuwanda huyo.
 
JamiiForums tupo kusoma
 
Miezi 3 yote iyo anatafuta nn??...Ila Mapenzi ya kitoto raha sana
 
Siku hizi tunaishi kwa kuviziana,akikausha unakausha.Mambo ya kukabidhi moyo ni ujinga.
 
Sasa umenuniana na mmoja unatujumuisha na wote, sema mmezinguana, kwahiyo ulitegemea ulichomkosea ukiomba msamaha tu akukubalie chap chap? Ulitakiwa upate joto la jiwe hebu mjibu "I miss you too" muendelee mlipoishia
Ongezea ni hii,I miss you,why unanitesa lakini huku unasonya,maisha bila unafiki hayaendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…