Vita ya kumaliza vita vyote umewahi sikia?

Vita ya kumaliza vita vyote umewahi sikia?

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,271
Reaction score
2,065
Wandugu wote tunashabikia vita ndio ila madhara ya vita ni zaidi ya tujuavyo sisi kimwili na kiroho.

Wewe Muislam mimi Mkristo hatupendani hakika nasema kuwa kuna vita inakuja kumaliza vita vyote na vita hii sio ya ma bomu au nyuklia ila ni vita ya Jehovah God and christ.

Tungekuwa tunajua hili wala tusingekuwa na chuki dhidi yetu ila tupo busy kufukuzana na panya wakati Nyumba inaungua.

Tazama na uangalie yanayokuka a great calamity upon earth hakuna atakayebeba bunduki wala kubeba wala kurusha nyuklia hakuna serikali duniani itaweza hakuna majeshi yatasimama

Kwa nini tusipendane kwa nini tuuane kwa nini
 
Fuatilia watu wanaoongoza kwa lugha za matusi,kejeli kwa upande mwingine wa dini ni watu wa dini ipi?
 
Back
Top Bottom