Vita ya marafiki ni kali sana kwenye mafanikio kuliko mtu baki

Vita ya marafiki ni kali sana kwenye mafanikio kuliko mtu baki

Hii story imebidi nisome comments zote, inahusu maisha ya uhalisia.

Tunasubiri mrejesho...nataman kujua hiyo kazi umelipwa shs ngap!!! Maana 2.5 kupata docs sio haba
Usijali mkuu..nitakupa mrejesho na amount pia nitakwambia ila kiufupi documents ni 1% ya total amount
 
Back
Top Bottom