Huyu mwalimu kakomolewa kweli
✔
Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii….!!* *Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.* *_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI.Kisha tumia PYTHAGORAS na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata thamani ya ANGLE._* *Mwalimu alisonya na kuondoka.*
*Stakagi ujinga kabisa mimi, wakati ananichapa alifikiri sifa*
*Mniache Tuu Mimi Sio Kwa Bifu Ilo Aiseee*