Vita ya pili ya dunia katika picha (WW2), tupia uliyonayo

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
1,335
Reaction score
1,554
vita vya pili vya dunia viliua watu milioni 60 na mpaka leo madhara yake bado yanaendelea kuonekana
Anaitwa Yang Kyoungjong amepigana vita vya pili vya dunia akiwa na uniform za mataifa za mataifa manne tofauti
Screenshot 2021-07-21 205719.png

In June 1944, a young soldier surrendered to American paratroopers in the Allied invasion of Normandy. At first his captors thought that he was Japanese, but he was in fact Korean. His name was Yang Kyoungjong. In 1938, at the age of eighteen, Yang had been forcibly conscripted by the Japanese into their Kwantung Army in Manchuria. A year later, he was captured by the Red Army after the Battle of Khalkhin Gol and sent to a labour camp.

The Soviet military authorities, at a moment of crisis in 1942, drafted him along with thousands of other prisoners into their forces. Then, early in 1943 he was taken prisoner by the German army at the Battle of Kharkov in Ukraine.

In 1944, now in German uniform, he was sent to France to serve with an Ostbataillon supposedly boosting the strength of the Atlantic Wall at the base of the Cotentin Peninsula inland from Utah Beach. After time in a prison camp in Britain, he went to the United States where he said nothing of his past. He settled there and finally died in Illinois in 1992.

Antony Beevor. The Second World War (Kindle Locations 86-93). Little, Brown and Company. Kindle Edition.

1627144792056.png

anaitwa vasily zaitsev alikua sniper wa kisovieti huyu jamaa alikua ni sniper hatari sana, kuna filamu inaitwa enemy at the gates nafasi yake ikichezwa na jude law inaelezea maisha ya jamaa huyu
 
vita vya pili vya dunia viliua watu milioni 60 na mpaka leo madhara yake bado yanaendelea kuonekana
Anaitwa Yang Kyoungjong amepigana vita vya pili vya dunia akiwa na uniform za mataifa za mataifa manne tofauti
View attachment 1862647
In June 1944, a young soldier surrendered to American paratroopers in the Allied invasion of Normandy. At first his captors thought that he was Japanese, but he was in fact Korean. His name was Yang Kyoungjong. In 1938, at the age of eighteen, Yang had been forcibly conscripted by the Japanese into their Kwantung Army in Manchuria. A year later, he was captured by the Red Army after the Battle of Khalkhin Gol and sent to a labour camp.

The Soviet military authorities, at a moment of crisis in 1942, drafted him along with thousands of other prisoners into their forces. Then, early in 1943 he was taken prisoner by the German army at the Battle of Kharkov in Ukraine.

In 1944, now in German uniform, he was sent to France to serve with an Ostbataillon supposedly boosting the strength of the Atlantic Wall at the base of the Cotentin Peninsula inland from Utah Beach. After time in a prison camp in Britain, he went to the United States where he said nothing of his past. He settled there and finally died in Illinois in 1992.

Antony Beevor. The Second World War (Kindle Locations 86-93). Little, Brown and Company. Kindle Edition.
Ngoja nimtafute Hiroo Onoda
 
Desert Fox
Erwin Rommel
1627079334209.png

Huyu Bingwa alikuwa hamkubali Hitler kabisa ilibidi wamwambie ajiue na cynide pill, na kwa ushujaa wake wa kumchukia Hitler, alimeza vidonge vya cynide na ukawa mwisho wake baada ya kumtuhumu kuhusika na "Valkyrie operation" iliyoongozwa na Lieutenants Colonel Claus von Stauffenberg.
 
Desert Fox
Erwin Rommel
View attachment 1865207
Huyu Bingwa alikuwa hamkubali Hitler kabisa ilibidi wamwambie ajiue na cynide pill, na kwa ushujaa wake wa kumchukia Hitler, alimeza vidonge vya cynide na ukawa mwisho wake baada ya kumtuhumu kuhusika na "Valkyrie operation" iliyoongozwa na Lieutenants Colonel Claus von Stauffenberg.
Na alizikwa kiheshima na hitler
 
Claus von Stauffenberg
1627080490811.png

Huyu ndio Lt Colonel Claus von Stauffenberg aliyeongoza jaribio la kumuua Hitler ndani ya ngome ya Hitler inayojulikana kama Wolf's Lair (Ngome ya Mbwa Mwitu)
Baada ya Lt Colonel Claus von Stauffenberg kujeruhiwa na bomu kwenye vita ta Afrika kaskazini, akaanza kuingiwa na maluweluwe ya kuamka na kujua Hitler analipoteza taifa la ujerumani.
Akapanga na kuwasuka majenerali kadhaa wa Jeshi la Ujerumani wa vikosi vya ardhi vinavyojulikana kama "Wehrmacht", walikuwa hawampendi Hitler kwa sababu ya upendeleo wake na kikosi cha SS Division(kikosi cha mauaji) kilichokuwa na jukumu la kumlinda Hitler na kilihusika na mauji ya kimbari ya wa israel chini ya shabiki asiyekuwa mwanajeshi wala uzoefu wa kijeshi ajulikanae kwa jina Heinrich Himmler.

Siku ya jaribio la kumuua Hitler, ilipangwa auwawe na mlipuko katika kikao cha kijeshi kujadili vita inayoendelea na Urusi.

Claus von Stauffenberg baada ya kulaghai walinzi wa getini na ujanja mwingi alifanikiwa kuigia ya ngome ya mbwa mwitu na alitayarisha mkoba wa kazi (briefcase) ukiwa na bomu lilitegwa na kiunga muda(time delay fuse).
Claus von Stauffenberg alifanikiwa kuingia kwenye mkutano bila kualikwa kwa mikwara ya hapa na pale kama Unanijua mimi ni nani?
Alivyoingia kwenye mkutano, akatafuta sehemu iliyo shabihiana na sehemu ya Hitler anaposimama na kuweka mkoba wa kazi (briefcase) chini ya meza.
Kwa bahati mbaya afisa wa jeshi mwingine alikuja na kujumuika kwenye kikao na kwenda kusimama mbele ya mkoba uliokuwa na bomu, mara akaona mkoba unambana kusimama vizuri, akausogeza pembeni zaidi, hii ndio ikawa chachu ya jaribio kutofanikiwa,

Claus von Stauffenbergalivyoona hivyo akashikwa na hasira na kutoka kwenye mkutano haraka haraka, baada ya dakika kadhaa, bomu likalipuka, na kumjeruhi Hitler.

Wakati Hitler yuko mahututi, Claus von Stauffenberg na wenzake wlikuwa wanapanga kuchukua nchi kwa kutumia wanajeshi wa vikosi vya ardhi "Wehrmacht", hapo ndio wanoko wa Hitler wakajua waliopanga njama za mauaji.

Kilichofuata hapo, ni msako wa kina Claus von Stauffenberg na majenerali wa vikosi vya ardhi "Wehrmacht", na wote kuhukumiwa kifo cha kupigwa risasi na Firing Squad

1627080222824.png
 
Na alizikwa kiheshima na hitler
Huyu Erwin Rommel alikuwa kati ya Field Marshall kijana duniani, na mpaka leo anapendwa na mataifa ya magharibi hususani Uingereza kama mwanajeshi wa kweli
nitarudi na stori yake fupi....
 
General Erich von Mainstein
Field Marshall

1627122542072.png

Alikuwa ni Generali wa Jeshi la Wermacht aliyeongoza kikosi cha 56th Panzer Corps, divisheni ya 4 ya Jeshi la kaskazini ( 4th Panzer Army of Army Group North) katika uvamizi wa kivita ndani ya nchi Umoja wa kishoshalist wa Kisoviet (USSR) au Urusi kama inavyojulikana kwa wengi.

Huyu pia alikuwa hampendi kabisa Hitler na kuna fununu za kumuhusisha na jaribio la kuumua Hitler liliongozwa na Lt Colonel Claus von Stauffenberg lakini walikosa ushadhidi na kama adhabu akapelekwa kuongoza vita ndani Urusi kwenye kikosi cha 4th Panzer Army of Army Group North kilichopewa eneo gumu katika uvamizi wa kushambulia mji wa Leningrad (Mji wa Muasisi wa Umoja wa Kishoshalist wa Kisoviet).

General Erich von Mainstein hakutetereka na kuongoza mashambulizi mpaka ndani ya kilometer kumi kufikia mji wa Leningrad.

Wakati huo huo ndio majira ya baridi(Winter season) yanaanza Urusi, hii ilichangia sana kuzorota kwa mashambulizi na kusababisha Urusi wajipange upya na kurudisha mashambulizi makali kwa kutumia uzoefu wa kuishi kwenye majira ya baridi.

Jeshi la General Erich von Mainstein liliathirika sana na kuomba ruhusa kurudi nyuma iliwajipange upya, ombi lilikataliwa na Hitler, na kuamuriwa kuendelea kusonga mbele bila msaada wa vifaa na silaha.

General Erich von Mainstein alikaidi amri ya Hitler ya kusonga mbele na kuamuru jeshi lake kurudi nyuma ili kuokoa maisha ya wanajeshi wengi wa Ujerumani.

Lakini katika mbinu za kurudisha jeshi nyuma(retreat), alitumia mbinu ya kijeshi ambayo ilimletea sifa kedekede kutoka dunia nzima na mataifa ya magharibi.

Alirudisha jeshi nyuma katika umbo la U, na kuwaingiza vikosi vya Urusi katikati ya umbo na kuwazunguka katika umbo O, na kupiga vilivyo vikosi vilivyozungukwa na kusababusha jeshi la Urusi kuchanganyikiwa na kutapakaa ovyo bila mpangilio na kuwezesha jeshi la Ujerumani kuchukua tena maeneo yalioachwa baada ya kurudi nyuma.

Hata baada ya vita ya pili kuisha, na Ujerumani kushindwa vita vibaya, General Erich von Mainstein hakufunguliwa mashitaka na nchi za magharibi bali alipewa kazi katika umoja wa NATO, kama mshauri wa mambo ya kijeshi kwa nchi za magharibi.
 
General Erich von Mainstein
Field Marshall

View attachment 1866100

kuna mwenzake wa kisovieti alikua anitwa general georgy zukhov huyu aka the god of war ni hatari sana
 
Hawa ni sample ya watoto wa kiyahudi waliochukuliwa na dakitari wa NAZI ajulikanaye kama joseph mengele kwa ajili ya kufanyiwa medical experiment. Huyu mdau alikuwa anafanyia binadamu moja kwa moja majaribio ya kitabibu badala ya kutumia wanyama kama panya(Guinea pigs)
Screenshot_20210724-113037.jpg
 
The last jew of vinnitsa:ni moja ya picha maarufu iliyopigwa na kikosi cha hitler kiitwacho SS death squad katika mji ujulikanao kama vinnitsa ulioko huko katikati magharibi kwa ukraine. Hii picha inadaiwa ilipigwa mwaka 1941 ikimuonesha mwanaume wa ki yahudi amepiga magoti mbele ya kaburi la pamoja ambalo tayari lina watu wamekufa kwa kupigwa risasi ,huku na Yeye akisubiria umauti wake kwa kupigwa risasi na askari wa ss aliyemwelekezea risasi ya kichwa.
Inasemekana ni moja ya picha zilizotumika katika ushahidi wakati wa mashitaka ya Nuremberg huko Ujerumani baada ya vita kwaajili ya kuwatia hatiani viongozi waandamizi wa kijeshi na wa serikali ya kinazi ya hitler
The_last_Jew_in_Vinnitsa%2C_1941.jpg
 
The last jew of vinnitsa:ni moja ya picha maarufu iliyopigwa na kikosi cha hitler kiitwacho SS death squad katika mji ujulikanao kama vinnitsa ulioko huko katikati magharibi kwa ukraine. Hii picha inadaiwa ilipigwa mwaka 1941 ikimuonesha mwanaume wa ki yahudi amepiga magoti mbele ya kaburi la pamoja ambalo tayari lina watu wamekufa kwa kupigwa risasi ,huku na Yeye akisubiria umauti wake kwa kupigwa risasi na askari wa ss aliyemwelekezea risasi ya kichwa.
Inasemekana ni moja ya picha zilizotumika katika ushahidi wakati wa mashitaka ya Nuremberg huko Ujerumani baada ya vita kwaajili ya kuwatia hatiani viongozi waandamizi wa kijeshi na wa serikali ya kinazi ya hitlerView attachment 1866469
daaa wayahudi walipata tabu sana jamaa walikua wanaua mpaka watoto
 
Mkuu naona umeiva sana kuhusu vita ya pili ya dunia...Swali langu je kati ya russia na muunganiko wa british na u.s.a ni nani alikua tishio kwa Nazi.Pia ni nani kati yao alie sababisha kwa kiasi kikubwa kwa kushindwa vita kwa ujerumani?
General Erich von Mainstein
Field Marshall

View attachment 1866100

Alikuwa ni Generali wa Jeshi la Wermacht aliyeongoza kikosi cha 56th Panzer Corps, divisheni ya 4 ya Jeshi la kaskazini ( 4th Panzer Army of Army Group North) katika uvamizi wa kivita ndani ya nchi Umoja wa kishoshalist wa Kisoviet (USSR) au Urusi kama inavyojulikana kwa wengi.

Huyu pia alikuwa hampendi kabisa Hitler na kuna fununu za kumuhusisha na jaribio la kuumua Hitler liliongozwa na Lt Colonel Claus von Stauffenberg lakini walikosa ushadhidi na kama adhabu akapelekwa kuongoza vita ndani Urusi kwenye kikosi cha 4th Panzer Army of Army Group North kilichopewa eneo gumu katika uvamizi wa kushambulia mji wa Leningrad (Mji wa Muasisi wa Umoja wa Kishoshalist wa Kisoviet).

General Erich von Mainstein hakutetereka na kuongoza mashambulizi mpaka ndani ya kilometer kumi kufikia mji wa Leningrad.

Wakati huo huo ndio majira ya baridi(Winter season) yanaanza Urusi, hii ilichangia sana kuzorota kwa mashambulizi na kusababisha Urusi wajipange upya na kurudisha mashambulizi makali kwa kutumia uzoefu wa kuishi kwenye majira ya baridi.

Jeshi la General Erich von Mainstein liliathirika sana na kuomba ruhusa kurudi nyuma iliwajipange upya, ombi lilikataliwa na Hitler, na kuamuriwa kuendelea kusonga mbele bila msaada wa vifaa na silaha.

General Erich von Mainstein alikaidi amri ya Hitler ya kusonga mbele na kuamuru jeshi lake kurudi nyuma ili kuokoa maisha ya wanajeshi wengi wa Ujerumani.

Lakini katika mbinu za kurudisha jeshi nyuma(retreat), alitumia mbinu ya kijeshi ambayo ilimletea sifa kedekede kutoka dunia nzima na mataifa ya magharibi.

Alirudisha jeshi nyuma katika umbo la U, na kuwaingiza vikosi vya Urusi katikati ya umbo na kuwazunguka katika umbo O, na kupiga vilivyo vikosi vilivyozungukwa na kusababusha jeshi la Urusi kuchanganyikiwa na kutapakaa ovyo bila mpangilio na kuwezesha jeshi la Ujerumani kuchukua tena maeneo yalioachwa baada ya kurudi nyuma.

Hata baada ya vita ya pili kuisha, na Ujerumani kushindwa vita vibaya, General Erich von Mainstein hakufunguliwa mashitaka na nchi za magharibi bali alipewa kazi katika umoja wa NATO, kama mshauri wa mambo ya kijeshi kwa nchi za magharibi.
 
Sio siri hawa wajerumani walikua na roho mbaya sana ndo maana warusssia waliwafanyia mbaya sana baka sana dada zao ..jamaa walikua na roho ya kinyama.
The last jew of vinnitsa:ni moja ya picha maarufu iliyopigwa na kikosi cha hitler kiitwacho SS death squad katika mji ujulikanao kama vinnitsa ulioko huko katikati magharibi kwa ukraine. Hii picha inadaiwa ilipigwa mwaka 1941 ikimuonesha mwanaume wa ki yahudi amepiga magoti mbele ya kaburi la pamoja ambalo tayari lina watu wamekufa kwa kupigwa risasi ,huku na Yeye akisubiria umauti wake kwa kupigwa risasi na askari wa ss aliyemwelekezea risasi ya kichwa.
Inasemekana ni moja ya picha zilizotumika katika ushahidi wakati wa mashitaka ya Nuremberg huko Ujerumani baada ya vita kwaajili ya kuwatia hatiani viongozi waandamizi wa kijeshi na wa serikali ya kinazi ya hitlerView attachment 1866469
 
Mkuu naona umeiva sana kuhusu vita ya pili ya dunia...Swali langu je kati ya russia na muunganiko wa british na u.s.a ni nani alikua tishio kwa Nazi.Pia ni nani kati yao alie sababisha kwa kiasi kikubwa kwa kushindwa vita kwa ujerumani?
usa na waingereza walikuja kwenye paria subuhi kabisa wakati kuna kucha huku wasovieti na nazis wakisakata rumba usiku kucha, stalin alitoa maelezo kwa majenerali wake wawahi kufika berlin kabla ya wa usa na waingereza na waliwahi kweli

sababu kuu ya ujerumani kushundwa vita ni ubishi wa Hitler kushindwa kuwasilikiliza majenerali wake maana kuna mda walitakiwa ku retreat ili wajipange upya lakini Hitler alikataa mfano Hitler kutaka kuchukua Stalingrad eti kwasababu tu ina jina la Stalin wakati walibakiza km chache tu kuingia moscow hiyo ! Na stalin nae hakutaka mji wenye jina lake ufe kwa hiyo wajerumani walipigwa sana hapo stalingrad

kutokaa na ubishi wa hitler askari wa nazis wakajikuta wameenda mbali sana na mifumo ya logistics ikawa migumu askari hawakupata supplies kwa wakati alafu baadae ikaja baridi amabayo hawakuzoea maana wao walijua kabla ya majira ya baridi watakua washafika moscow lakini walikutana na resistance vita ikachukua mda mrefu mpaka majira ya baridi wenzao baridi walishaizoea
 
Back
Top Bottom