Sioni cha kushangaa. Ukanzamizaji ni lazima ukemewe na kila mtu.
Vya kushangaa ni vingi katika kauli ya Raila:
1. Utatumia kipengele gani cha sheria za Zimbabwe "kumpindua" Mugabe?
2. Utapeleka Jeshi gani (UN, AU, la JK)) la kuivamia Zimbabwe kwa kanuni gani (which article in the UN, AU or TZ constitution)? Na hata ikivamiwa si watakufa watu wengi zaidi kuliko hao wa kipindupindu?
-- una habari Iraq ambako Mwamerika alimlazimisha Saddam Bin Hussein kuangamiza kwanza silaha zake KABLA YA KUMVAMIA kwamba hadi 13/12/08
Number Of Iraqis Slaughtered is "1,284,105" and U.S. Military Personnel Sacrificed (Officially acknowledged) is "4,209" !! Idadi hiyo eti lengo ni kumng'oa mtu mmoja tu lakini MiratKad na WAPENZI WA MAREKANI HAWAJAKEMEA au hata kuandamana alipokuja 'Kichaka' hapa Bongo.
-- hivi Nyerere aliwahi kutaja HESABU YA WAGANDA NA WATANZANIA WALIOPOTEZA MAISHA YAO TULIPOIVAMIA UGANDA? Lazima itakuwa ni MALAKI. Kisa? Kumng'oa Idi Amini na kumsimika rafiki yake Obote ambaye hata hivyo Waganda wakampindua tena!
3. Akina Raila, Watanzania na Afrika kwa jumla tuachane na MTAZAMO WA UPANDE MMOJA. Sisi tunakutana na wa-Zimbabwe wanaeleza HALI TOFAUTI KABISA NA HIYO YA BBC, CNN, VOA lakini wao hawana vyombo vya habari ambavyo vinaweza kutangaza au kuchapisha UKWELI ULIVYO. INASIKITISHA SANA PROPAGANDA ZINAZOSAMBAZWA, ndio maana SADC hawakubaliani nazo
4.
Madhila na matatizo ya kiuchumi WALIOYASABABISHA NI HAO HAO WAINGEREZA NA MAREKANI na hata wanathubutu "kuangamiza wananchi" kwa kuiwekea vikwazo Zimbabwe ili Mugabe achukiwe. One of the methods used by the US to depopulate the BLACK race (in addition to biological weapons) is sanctions. Plse comrades, read news from other sources ......
TUFUMBUE MACHO WAFRIKA ...... MATAIFA YA MAGHARIBI SIO MARAFIKI!!!!
WAMESHINDWA MASHARIKI YA KATI HADI WANAPATA "KIPIGO" CHA MAANGAMIZI YA UCHUMI WAO. HIVI HAMJIULIZI KULIKONI PAMOJA NA WANAUCHUMI WAO WOTE NA VYUO VIKUU VYAO VYOTE WAMESHTUKIA WAMO KATIKA "ECONOMIC RECESSION"
AMBAPO WAARABU WANAOFUATA ISLAMIC SHARIAH ILIYOANZISHWA NA ILLITERATE HAWAKUATHIRIKA????