Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,477
Mkuu kina nani wanataka kuanzisha WW3 na sisi donor country?Wasalaam
Juzi nlikuwa napitia mambo kadhaa wa kadhaa juu ya Mfungo wa Ramadhan kwenye mitandao
Masahibu wanayopata watu mbalimbali juu Mfungo na Mlipuko wa magonjwa
Kwakuwa nlikuwa nimebase kwenye, Islamic informations ikaja notification moja nikapitia kwa Uchache
Kwamba Huruhusiwi kuingia MaKka Hadi uwe Vaccinated ,from Covid hapa nikapata mgutuko kidogo
Nikaanza kusoma mengine mengi mengi Ambayo tutakumbana nayo ,vizuizi na masahibu tele
Endapo hauta Accept Vaccine,
Naona Vita wanayotaka kutupiga nayo ni rahisi mno kwao mchezo mdogo Si yale mabunduki na Manuclear kama ya Hiroshima na Nagasaki
View attachment 1753419
..RAMADAN KAREEM
hao wenye Dunia yaoMkuu kina nani wanataka kuanzisha WW3 na sisi donor country?
Wanaotupiga hiyo vita ni nani? Wazungu? Wachina? Au ni nani?Naona Vita wanayotaka kutupiga nayo ni rahisi mno kwao mchezo mdogo, si yale mabunduki na Manuclear kama ya Hiroshima na Nagasaki.
..RAMADAN KAREEM
Stori ni nyingi sana kuhusu VaccineKwa hiyo itafikia ile tupigwe chata ya 666 au ndio hii chanjo inamaanisha
Kwakwelii , ili swala wahanga ni wote ndiyo maana tukalipoint kama WW3Wanaotupiga hiyo vita ni nani? Wazungu? Wachina? Au ni nani?
Kama ni wazungu au kama wengine wanavyoita "mabeberu" mbona hata wao wanapata chanjo? Sasa mnufaikaji wa hii vita ni nani?
I am not really qualified to explain this but mimi naamini ni mwanzo, na kadri wanavyogundua baadhi ya watu wanaopata madhara kutokana na chanjo (kama ni kweli) ndio vile wanaendelea kuiboresha.Kwakwelii , ili swala wahanga ni wote ndiyo maana tukalipoint kama WW3
Ikiwa na maana limegusa kote
Nlikuwa nafatilia maafa ya baadhi ya maeneo (kwa mabeberu) waliopata maafa kutokana na kuchomwa Vaccine hasa ile ya Johnson-Johnson ,nmeona wengine ,wametokwa na rashes mwilini, wengine ngozi inajuvua, ila aina hiyo ya chanjo imeonekan kuleta Neg effect kwa baadhi ya watu
Hata ila vaccine ya AstraZenica nimeona nayo imeumiza watu kwa kiasi cha
Hatujajua kama ni inshu za kiafya tu kama ImmuneReactions juu ya chao au ni hayo madhara tuambiwayo twayapata kutokana na Chanjoo
View attachment 1753560
Who knows
Yes ni mwanzo why majaribio yafanywe kwa watu then ndio maboresho yafuate?I am not really qualified to explain this but mimi naamini ni mwanzo, na kadri wanavyogundua baadhi ya watu wanaopata madhara kutokana na chanjo (kama ni kweli) ndio vile wanaendelea kuiboresha.
Hahah, umeuliza kwa huruma kishenzi!!Kwa hiyo itafikia ile tupigwe chata ya 666 au ndio hii chanjo inamaanisha
Wanaotupiga hiyo vita ni nani? Wazungu? Wachina? Au ni nani?
Kama ni wazungu au kama wengine wanavyoita "mabeberu" mbona hata wao wanapata chanjo? Sasa mnufaikaji wa hii vita ni nani?
Yaan🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️Hahah, umeuliza kwa huruma kishenzi!!
Aiseee, yawezekana piaI am not really qualified to explain this but mimi naamini ni mwanzo, na kadri wanavyogundua baadhi ya watu wanaopata madhara kutokana na chanjo (kama ni kweli) ndio vile wanaendelea kuiboresha.
Ni kweliHizo chanjo zao nahisi zina madaraja pengine kulingana na umuhimu wa wanadamu fulani, watu wa jiografia fulani n.k...
Mathalani hadi sasa hujapata ona hao viongozi wakubwa waliochanjwa kama wamepata madhara yoyote
👊🙏🤝Yes ni mwanzo why majaribio yafanywe kwa watu then ndio maboresho yafuate?
We all know chanjo hazikufuata procedures kama inavyotakiwa.
Simple tubaki huku huku kwetu tusiende kwa hao mabeberu. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Yani tuwaseme kuwa ni wabaya halafu tutake kwenda kwao?hao wenye Dunia yao
🤣🤣🤣🤣Aisee nakubaliiSimple tubaki huku huku kwetu tusiende kwa hao mabeberu. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Yani tuwaseme kuwa ni wabaya halafu tutake kwenda kwao?
Unakuwa kama wale waliohamia sehemu penye tamaduni tofauti halafu kufika huko wanalazimisha wenyeji wafuate tamaduni zao.
Aiseee ,Shukraani mkuu, hivyo nini mbadala wa mawazo ya wengi wetu ambao ni wanaresist kuwa vaccinated???Kuna kampeni kimeo inapigwa dhidi ya chanjo za covid19 ambazo hazielezi ukweli halisi,, AstraZeneca England wamepewa watu milion 16 kukiwa na negative reaction ya watu wasiofika 100. Covid19 imeua watu karibia laki 3 England kiasi kwamba huwezi fananisha faida za chanjo dhidi ya madhara ya covid19.
Dunia nzima watu ambao wamepata negative effect ya chanjo za Corona hawafiki hata 5000 lakini leo hii covid19 inaua watu 1000 kila siku Brazil. Dunia nzima Corona imeua watu karibia milioni 2 wakati waliokufa kutokana na negative reaction hawafiki hata 100. Chanjo ni safe kuliko kutopata chanjo.
Binadamu ni sehemu ya majaribio ya vaccines.Yes ni mwanzo why majaribio yafanywe kwa watu then ndio maboresho yafuate?
We all know chanjo hazikufuata procedures kama inavyotakiwa.