Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
Umuhimu wa wanadamu fulani sina uhakika ila kuna chanjo wanasema zina vary according to geographic region ndio maana wakati wa Clinical trials wanapendekeza zifanyike maeneo tofauti.Hizo chanjo zao nahisi zina madaraja pengine kulingana na umuhimu wa wanadamu fulani, watu wa jiografia fulani n.k...
Mathalani hadi sasa hujapata ona hao viongozi wakubwa waliochanjwa kama wamepata madhara yoyote
Hapa kidogo ndiyo napata jawabu kati ya maswali mengi , ya kwanini Chanjo ziko tofoutiUmuhimu wa wanadamu fulani sina uhakika ila kuna chanjo wanasema zina vary according to geographic region ndio maana wakati wa Clinical trials wanapendekeza zifanyike maeneo tofauti.
Kwa hiyo ni inawezekana chanjo inayotomika Marekani isitumike Africa.
(Sio mtaalam, kama kuna makosa nisamehe)
Naomba unisaidie friji la hivi linakula umeme kiasi gani ltr 260.Hizo chanjo zao nahisi zina madaraja pengine kulingana na umuhimu wa wanadamu fulani, watu wa jiografia fulani n.k...
Mathalani hadi sasa hujapata ona hao viongozi wakubwa waliochanjwa kama wamepata madhara yoyote
Paula π! kweli hizi chanjo zimefuata hatua zote na muda hitajika kuweza kuanza kutumika?Binadamu ni sehemu ya majaribio ya vaccines.
Kwanza wanafanya preclinical testing hii inahusisha wanyama hapa ni mwanzo kabisa kabla hamjaruhusiwa kuendelea hatua zingine.
Kisha ni Clinical trials hii inahusisha binadamu/watu. Na hizi chanjo zimefuata yote hayo hadi kukubalika sasa kuchanjwa watu.
Wapewe elimu tu,elimu wanayoipata toka WhatsApp, YouTube inawavuruga sana[emoji29][emoji29]Aiseee ,Shukraani mkuu, hivyo nini mbadala wa mawazo ya wengi wetu ambao ni wanaresist kuwa vaccinated???
Mbna nje ya mada ?!!
Hizo watts nazisomea wapi zipo sehemu ganiMbna nje ya mada ?!!
Anyway friji inakula umeme kulingana na watts zake sio lita
sasa uliza hilo lina watts ngapi ?
Ndio kila kilichotakiwa kufanywa kimefanywa, kila kilichotakiwa kufuatwa kimefuatwa. Unahisi ni kipi hakijaenda sawa , isajorsergio?Paula π! kweli hizi chanjo zimefuata hatua zote na muda hitajika kuweza kuanza kutumika?
Muda wa majaribio zaidi kabla ya kuwafikia binadamu.Ndio kila kilichotakiwa kufanywa kimefanywa, kila kilichotakiwa kufuatwa kimefuatwa. Unahisi ni kipi hakijaenda sawa , isajorsergio?
Wanasema majaribio yanachukua muda mrefu au muda mfupi kutokana na mambo mengi mfano money (resources), public support, technology na zinginezo.Muda wa majaribio zaidi kabla ya kuwafikia binadamu.
Ahaaa! Oke, let's hope vaccines zitakuwa effective na kuokoa mabillioni ya watu.Wanasema majaribio yanachukua muda mrefu au muda mfupi kutokana na mambo mengi mfano money (resources), public support, technology na zinginezo.
Kwa covid19 vaccines walipata support ya kutosha ya fedha, hata watu hawakusita kukubali kufanyiwa majaribio na pia kabla ya covid 19 tayari palikuwa na coronaviruses nyingine ambazo walikuwa wanazishughulikia kwa hiyo vaccine technology ilikuwa tayari ipo.
Thank you.Ahaaa! Oke, let's hope vaccines zitakuwa effective na kuokoa mabillioni ya watu.
Asante kwa darasa.
okeyy okeyyWapewe elimu tu,elimu wanayoipata toka WhatsApp, YouTube inawavuruga sana[emoji29][emoji29]
π€π€π€Wanasema majaribio yanachukua muda mrefu au muda mfupi kutokana na mambo mengi mfano money (resources), public support, technology na zinginezo.
Kwa covid19 vaccines walipata support ya kutosha ya fedha, hata watu hawakusita kukubali kufanyiwa majaribio na pia kabla ya covid 19 tayari palikuwa na coronaviruses nyingine ambazo walikuwa wanazishughulikia kwa hiyo vaccine technology ilikuwa tayari ipo.
π€π€Mtoa mada yuko sahihi hii ni planned activity ya muda mrefu ipo ndani ya NWO lengo mojawapo ni kupinguza idadi ya watu duniani ili binadamu wote tuwe controlled, nitaendelea....