CHIPESI NAMISUKU
Member
- Oct 7, 2019
- 51
- 157
Kinachoendlea kwa taifa letu la Tanzania ni mpango mkakati wa vita ya kiuchumi, Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani imetekeleza na kufanya mambo mengi sana ambayo ni vichocheo katika kukuza uchumi wa nchi yetu.
Hali hii imewafanya wafanyabiashara wengi kutoka hapa nchini na mataifa makubwa kukosa wateja na fursa ya kibiashara nchini na wamepoteza biashara zao. Mifano michache ya suala hii ni kama:
(a) Yapo makampuni ya ndege ambayo yalitegemea nchi ikose ndege ili wao waweze kuikodisha serikali ndege ili shirika la ndege ATCL iweze kufanya kazi.
(b) Makampuni mengi ya ndege yalipendelea na yalitaka Tanzania iendlee kukosa ndege ili yaweze kufanya biashara ya usafiri wa anga katika anga la Tanzania.
Hizi ni sababu chache ambozo zinapelekea baadhi ya haya matukio yanayoendelea kwa ndege zetu zikiwa ni juhudi za kuweza kukwamisha juhudu hizi ili wao waendelee kunufaika kwa kufanya biashara ndiyo maana wanajipenyeza katika hicho wanachokiita deni na kuzizuia ndege zetu.
Hakika serikali imejipanga na imejidhatiti kuhakikisha inaibuka na ushindi katka vita hii ya uchumi.