Vita ya ufungaji bora NBC PL inazidi kushika kasi

Vita ya ufungaji bora NBC PL inazidi kushika kasi

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno 1. CLEMENT MZIZE GOALS 9

2. Rupia 8

3. Ateba GOALS 8

4. PACOME GOALS 7

5. AHOUA GOALS 7

6. PRINCE GOALS 7

na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi? Apdates zinahitajika hapa mpaka mwisho wa msimu.
 
Elvis Rupia
Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno Clement Francis Mzize, Prince Mpumelelo Dube, Christian Lionel Mbida Ateba, Pacome Zouzoua Jeah Charles Ahoua na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi
 
Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno Clement Francis Mzize, Prince Mpumelelo Dube, Christian Lionel Mbida Ateba, Pacome Zouzoua Jeah Charles Ahoua na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi?
Ungeweka na idadi kamili ya magoli ya kila mchezaji ili tuione hiyo vita.
 
Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno 1. CLEMENT MZIZE GOALS 9

2. ATEBA GOALS 8

3. RUPIA GOALS 8

4. PACOME GOALS 8

5. AHOUA GOALS 7

6. PRINCE GOALS 7

na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi?
Dube atachukua.
 
Ungeweka na idadi kamili ya magoli ya kila mchezaji ili tuione hiyo vita.
Nakumbuka jinsi wachezaji wa Yanga walivyobezwa na mashabiki wa Simba huku mchezaji wao Ahoua na Ateba wakifunga kwa magoli ya penati kisha kujisifia kuwa wana magoli mengi huku Yanga aliyekuwa na magoli mengi ni beki Bacca. Ilikuwa ni swala la muda tu na pia wamshukuru Gamondi maana hizi dozi kama zingetolewa tokea mwanzo wa msimu, kuna watu wangeachwa mbali sana
 
Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno 1. CLEMENT MZIZE GOALS 9

2. ATEBA GOALS 8

3. RUPIA GOALS 8

4. PACOME GOALS 8

5. AHOUA GOALS 7

6. PRINCE GOALS 7

na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi?
Uyo ateba magoli 4 ni ya penalty kwaiyo alama za magoli ya penalty uwa zinapungua
 
Hakuna hiyo sheria, pia magoli hayana alama mkuu
Ndo unavyojidanganya, uliza kwanza ueleweshwe,,mwisho wa msimu wafungaji wakilingana magoli wanatoa alama kwa goli la penalty alama 1 na goli ambalo sio la penalty alama 2 ivyo kama unazo penalty nyingi imekula kwako
 
Hivi nyie UTO wenye akili hawaongezeki tu? Ni ligi gani walishawahi fanya huo utopolo?
 
Hivi nyie UTO wenye akili hawaongezeki tu? Ni ligi gani walishawahi fanya huo utopolo?
Tatizo lenu nyie Kolo FC hamfuatilii kanuni, haya kanuni hizo hapo.
images - 2025-02-09T224032.081.jpeg
 
Back
Top Bottom