Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kumbuka utaratibu mpya wa magoli ya penalty kuwa na uzito wa nusu point kulingana na point za magoli yasiyokuwa ya penalty; kwa hiyo Ateba mwenye magoli mengi ya penalty hawezi kusindana na Mzize au Dube ambao hawana magoli ya penalty hata moja.Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno 1. CLEMENT MZIZE GOALS 9
2. ATEBA GOALS 8
3. RUPIA GOALS 8
4. PACOME GOALS 8
5. AHOUA GOALS 7
6. PRINCE GOALS 7
na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi?