Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno Clement Francis Mzize, Prince Mpumelelo Dube, Christian Lionel Mbida Ateba, Pacome Zouzoua Jeah Charles Ahoua na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi
Ungeweka na idadi kamili ya magoli ya kila mchezaji ili tuione hiyo vita.Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno Clement Francis Mzize, Prince Mpumelelo Dube, Christian Lionel Mbida Ateba, Pacome Zouzoua Jeah Charles Ahoua na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi?
Prince naye hashikiki auMzize hashikiki,huku prince na zouzoua wakumfuatilia kwa karibu.
Dube atachukua.Mambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno 1. CLEMENT MZIZE GOALS 9
2. ATEBA GOALS 8
3. RUPIA GOALS 8
4. PACOME GOALS 8
5. AHOUA GOALS 7
6. PRINCE GOALS 7
na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi?
Nakumbuka jinsi wachezaji wa Yanga walivyobezwa na mashabiki wa Simba huku mchezaji wao Ahoua na Ateba wakifunga kwa magoli ya penati kisha kujisifia kuwa wana magoli mengi huku Yanga aliyekuwa na magoli mengi ni beki Bacca. Ilikuwa ni swala la muda tu na pia wamshukuru Gamondi maana hizi dozi kama zingetolewa tokea mwanzo wa msimu, kuna watu wangeachwa mbali sanaUngeweka na idadi kamili ya magoli ya kila mchezaji ili tuione hiyo vita.
Yess wawe wanajiandaa kabla ya kuandika uzi1. Mzize Magoli 9
2. Rupia Magoli 8
2. Zouzoua Magoli 8
4. Ahoua Jc magoli 7
4. Dube P. Magoli 7
5.
Uyo ateba magoli 4 ni ya penalty kwaiyo alama za magoli ya penalty uwa zinapunguaMambo vipi ndugu zangu wapenda mchezo wa soka? Wakati timu zikichuana kuwania ubingwa na zingine zikipambana zisishuke daraja, kumeibuka vita nyingine ndogo ya kuwania ufungaji bora, mpambano ni mkali mno 1. CLEMENT MZIZE GOALS 9
2. ATEBA GOALS 8
3. RUPIA GOALS 8
4. PACOME GOALS 8
5. AHOUA GOALS 7
6. PRINCE GOALS 7
na wengine wanachuana vikali kuwania kiatu hicho cha dhahabu. Nani ataibuka mshindi?
Hakuna hiyo sheria, pia magoli hayana alama mkuuUyo ateba magoli 4 ni ya penalty kwaiyo alama za magoli ya penalty uwa zinapungua
Ndo unavyojidanganya, uliza kwanza ueleweshwe,,mwisho wa msimu wafungaji wakilingana magoli wanatoa alama kwa goli la penalty alama 1 na goli ambalo sio la penalty alama 2 ivyo kama unazo penalty nyingi imekula kwakoHakuna hiyo sheria, pia magoli hayana alama mkuu
Hivi nyie UTO wenye akili hawaongezeki tu? Ni ligi gani walishawahi fanya huo utopolo?Ndo unavyojidanganya, uliza kwanza ueleweshwe,,mwisho wa msimu wafungaji wakilingana magoli wanatoa alama kwa goli la penalty alama 1 na goli ambalo sio la penalty alama 2 ivyo kama unazo penalty nyingi imekula kwako
Tatizo lenu nyie Kolo FC hamfuatilii kanuni, haya kanuni hizo hapo.Hivi nyie UTO wenye akili hawaongezeki tu? Ni ligi gani walishawahi fanya huo utopolo?