Vita ya ufungaji bora NBC PL inazidi kushika kasi

Kumbuka utaratibu mpya wa magoli ya penalty kuwa na uzito wa nusu point kulingana na point za magoli yasiyokuwa ya penalty; kwa hiyo Ateba mwenye magoli mengi ya penalty hawezi kusindana na Mzize au Dube ambao hawana magoli ya penalty hata moja.
 
Endeleeni kujifariji
 
Hivi nyie UTO wenye akili hawaongezeki tu? Ni ligi gani walishawahi fanya huo utopolo?
Kasome kanuni za ligi usiwe na kichwa kigumu kuleta ubishi,,usitake Rage aendelee kuwa sahihi kuwaita mbumbumbu!
 
Ligi ikiisha msimamo utakavyokua kwa wafungaji bora...
1. Dube
2. Mzize
3. Ahoua
4. Rupia
5. Ateba
6. Pacome
 
Nakwambia hii kanuni haijawahi tumika popote duniani, walifungana mayele na said na wote wakapewa tuzo wakati said alikuwa na mapenati kibao
Kutokutumika haina maana haipo. Ipo bali haijatokea situation ya wafungaji kugongana magoli na kama ikitokea basi itatumika.Hiyo kanuni ni kanuni ya TFF na ilitungwa 2023.
 
Kanuni ipitiwe upya iondoe magoli yaliyofungwa timu ambazo ni matawi ya timu zinazocheza.. kama Uto vs SBS, Dodoma JiJi, Pamba, Ken gold, etc.
 
Pacome ana 7,labdah aongeze leo kwa JKT
 
Nakwambia hii kanuni haijawahi tumika popote duniani, walifungana mayele na said na wote wakapewa tuzo wakati said alikuwa na mapenati kibao
Hiyo kanuni imetungwa msimu uliopita. Kanuni zinaweza tofautiana ligi na ligi au hata mashindano na mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…