Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Tuachane na hizo vita maanake ni kama hazituhusu kiviiile; tujadiri hili la shitholes countries, ni je ni kweli au katutukana?View attachment 3145031
Siyo siri kwa sasa.
Inaelekea Vita ya Ukraine haiungwi mkono na wamarekani.
Na Trump aliahidi kuimaliza vita hii ndani ya siku moja kwa kukata misaada yote ya kivita kwa Ukraine.
Trump mara kwa mara amesikikia akisema huyu bwana mdogo Zelensky kila akija Waashington anabeba kitita chetu cha maTrilioni-na kuahidi kukomesha hilo.
Kwa mashariki ya kati, wananchi wengi wa marekani inaelekea hawapendezwi na mauaji yanayoendelea huko Israeli na majirani zake.
Kuwaondoa Democrats madarakani ni kama vote of no confidence
Hata hivyo sisi makabwela wa dunia, hakuna cha matumaini kwa Trump, maana katika awamu yake ya kwanza alisha sema, sisi shithole countries hatumna maana kabisa.
Zingatia...( shithole)π€£View attachment 3145031

Wajinga tupo kuwaelimisha wapumbavu!kwani ukikaa kimya ukasoma maandiko ya wengine hata kama yakijinga kama lako hili.unapungukiwa nn
Kwa Ukraine ni sawa ila kwa mashariki ya kati ni msiba. Trump ni pro Israel to the extent. Umesahau yeye ndie aliyeanzisha Ibrahim accod na ndie aliyeunga mkono wayahud kuufanya Jerusalem ndio mji mkuu. Na huyu mzee mume wa mwanae ni wale jews extremistView attachment 3145031
Siyo siri kwa sasa.
Inaelekea Vita ya Ukraine haiungwi mkono na wamarekani.
Na Trump aliahidi kuimaliza vita hii ndani ya siku moja kwa kukata misaada yote ya kivita kwa Ukraine.
Trump mara kwa mara amesikikia akisema huyu bwana mdogo Zelensky kila akija Waashington anabeba kitita chetu cha maTrilioni-na kuahidi kukomesha hilo.
Kwa mashariki ya kati, wananchi wengi wa marekani inaelekea hawapendezwi na mauaji yanayoendelea huko Israeli na majirani zake.
Kuwaondoa Democrats madarakani ni kama vote of no confidence
Hata hivyo sisi makabwela wa dunia, hakuna cha matumaini kwa Trump, maana katika awamu yake ya kwanza alisha sema, sisi shithole countries hatumaa maana kabisa.
Unamuelimisha nani kwa ujinga huu??Wajinga tupo kuwaelimisha wapumbavu!
Kwa Ukraine ni sawa ila kwa mashariki ya kati ni msiba. Trump ni pro Israel to the extent. Umesahau yeye ndie aliyeanzisha Ibrahim accod na ndie aliyeunga mkono wayahud kuufanya Jerusalem ndio mji mkuu. Na huyu mzee mume wa mwanae ni wale jews extremist
Nakuelimisha wewe mpumbavu!Unamuelimisha nani kwa ujinga huu??
Ha ha ha!Naona Wamarekani wa Nzega na Liwale mnabishana mpaka kutukanana kwa kujadili nchi yenu ya ahadi ya US.
ππ
Kabla ya kutuita s hole ,alitoa na sababu zake..Tuachane na hizo vita maanake ni kama hazituhusu kiviiile; tujadiri hili la shitholes countries, ni je ni kweli au katutukana?
Huyu anaenda kushughulika na mzizi, ataukata. IRAN, Iran, Iran umeandaliwa mitego mitatuHawajui hawa kuwa bora kina kamala walikua wanauma na kupuliza huyu ni habari mbaya kwa iran na pro iran wote..
Hakuna Amani duniani. Haitakuja kutokea hiyo. Vita zitaendelea kuwepo. Wewe unafikiri Vita imeletwa na democrat? Hapana. Tena tegemea Vita kubwa zaidi siku za usoniNimefurahi mno leo, dunia irudi kwenye amani sasa imetosha.
Kwa Ukraine atamaliza ila Kwa Palestina sidhani itakuwa Kwa tabu sana,miaka miwili ya mwisho alitembelea Israel na kusema america itahamisha ubalozi Toka TEL Aviv mpaka Jerusalem ya yy ndio anatambua ni mji mkuu na palestina juu ya Jerusalem hawaelewi kitu tabu ipo labda iwe aseme iwe nchi Moja wakakubalianaNimefurahi mno leo, dunia irudi kwenye amani sasa imetosha.