Omuzaile Member Joined Jan 23, 2019 Posts 34 Reaction score 56 Aug 6, 2022 #1 Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian. Et jamani ni kweli nyie makolo?
Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian. Et jamani ni kweli nyie makolo?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Aug 6, 2022 #2 Sio Ghazwat kweli huyo?