Vita ya Urusi na Ukraine: Akili na malengo ya Putin nchini Ukraine

Fuatilia taifa la urusi at least 150 yrs back na historia ya mataifa ya magharibi at least 120 yrs back kabla hujaleta huu utoto humu ndani, labda nikuulize swali unadhani pamoja na kwamba kila taifa lina uhuru wake wa ndani je ikitokea taifa jirani likamleta adui yako na huyo adui kaja kukuvamia lakini yupo kwa jirani yako ukachukua hatua za kumuonya huyo jirani juu ya kumhifadhi adui yeye ndo kwanza anampa na kiwanja cha mapambano dhidi yako utaendelea kumwacha kisa ana uhuru wake wa ndani?
 
Naona umeangalia upande mmoja, maana hata Victor Yanukovych naye unaweza kusema alikuwa anaburuzwa na Russia.
Ukitaka kuwa sahihi ni kuwa ndani ya Ukraine wananchi wamegawanyika, kuna baadhi wanataka kuwa nje ya Russia na wengine wanataka kuwa na connection na West
Upande wowote ule kwa lugha yako aisha uburuzwe na Russia au na West
Nchi iko divided, huwezi kusema kwa hakika wengi wako upande upi.
 
thanx bro, nilitaka kumtukana sana Vladimir, lakini andiko lako limenifumbua ufahamu, ntampongeza Vladimir.
 
ajiulize kidogo tu, tulikuwa na ulazima gani wa kumpiga na kuhakikisha tumemwondoa nduli amin ndani ya nchi yake?!?, lakini pia asome sana na achunguze kwa makini kwanini tumeungana na Zanzibar. akumbuke Mwl. Nyerere aliwahi kukiri angekuwa na uwezo angekibeba kisiwa kile akakitupilia mbali huko baharini
 
acha uchiz , huyo Putin iwapo Ulaya wangekuwa maadui kwann anashirikiana nao kila kitu ila ikija inshu ya Ukraine ndo anawataja ulaya kama maadui ifike muda tuache uzuz wa kukaza fuvu , Urusi alivunja makubaliano mwaka 2013 kwa kuivamia Ukraine tyr Ukraine alikuwa na sabab ya kujiunga popote pale maana mkataba ulifanya batili na Urusi , Ulaya wangekuwa maadui bas Urusi angeitoa Urusi kweny ushirika na ulaya na wala asingewauziaga gesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…