[emoji1] [emoji1] [emoji1] .Waumini wote wataokoka wallah
Hahahahahahaha hata husahauWe msichana una hatari. Huo mchanganyiko unaweza kusahau nyumbani wallah
Hahahahahaha kuna watu wanamix konyagi na dompo alafu wanadondoshea gongo kidogoSI tumezoea Sana k VANT plus mo energy japo nasikia Ni sumu tunatengeneza..mtaan Kuna wakemia wakuu kazi Yao ku mix hizi mambo juzi wakaleta k VANT na hio sijui Inaitwa blue magic sijui blue moment asee ilikuwanga sho sho
Tupo pamojaKwangu binafsi Konyagi ndio namba one
Me nakumbuka niliagiza mbege nikaletewa ambayo wamemix gongo.nashangaa glass Moja tu chali.nimezimaHahahahahaha kuna watu wanamix konyagi na dompo alafu wanadondoshea gongo kidogo
hata tule tuchupa twenye maji ya heinken au tule twa namibia?
Wewe tuambie nani mbabe kati ya guest house na lodge.
Mkuuuu K vant kwa sasa inatisha mbayaaa..... watu wengi wamehama Konyagi..... Serengeti lite inakimbiza mbayaaa CASTLE lite.... ... naona umeongelea ki ushabik na wala sio kiualisiaKawaida kila kinywaji kipya (masanga) kinakuja na kishindo chake. kwenye haya mambo yetu ni sawa tu na pale baa au club mpya inapofunguliwa, utadhani zingine hazifai.
Serengeti lite anapita tu, atapotea wakati ukifika. Castle lite ni chuma kile, hata kikijikongoja kwa sasa lakini kitabakia.
K Vant hauwezi mziki wa Nyagi. Konyagi ina wanywaji wake bwana. wanywaji wa kvant ni waigizaji tu, tena tunaweza sema ni waonjaji tu. Wanywaji wa ukweli wanaiheshimu na kuitukuza konyagi. Amini nawaambieni itafikia kipindi KVant atabaki historia.
Kwenye ulabu bwana mkongwe siku zote atabaki mkongwe na sifa yake itadumu. Balumi, japo si kongwe lakini huwezi kuilinganisha na Pilsner. Japo Pilsner ni ya kitambo lakini ni bia tofauti kabisa na balimi. ni sawa na kulinganisha bamia na kitunguu.
Angalia, kuna bia kama safari, Castle lager, Ndovu, nk ni za kitambo na bado zinatamba. zipo zitakozokuja na zitakazoondoka au kufifia, mkongwe anabaki na hashima yake milele.
Agggggh! wacha niwahi maeneo nikajipoze na safari+peck za nyagi (mambo ya bia na tera lake). Leo katikati ya wiki nitakuwa grocery tu ................... wadau wenzangu tunaopafahamu natangulia mie
Ewaaaaaa.... hakyamama hata mi nlikuwa nagonga Nyagi balaa... Hivi sasa nimeuliza mahaba kwa K vant. Nikitaka bia nalamba zangu Sere Lite taratiiiiiibu bila bugudha...Mkuuuu K vant kwa sasa inatisha mbayaaa..... watu wengi wamehama Konyagi..... Serengeti lite inakimbiza mbayaaa CASTLE lite.... ... naona umeongelea ki ushabik na wala sio kiualisia
Acha kbsaa mkuu hii K VANT mpyaa kitu fresh...... Serengeti lite ukipata ile barid basi utamu n zaid ya kupiz ..... na Kitimoto cha kuchomwa safi kbsaaEwaaaaaa.... hakyamama hata mi nlikuwa nagonga Nyagi balaa... Hivi sasa nimeuliza mahaba kwa K vant. Nikitaka bia nalamba zangu Sere Lite taratiiiiiibu bila bugudha...
Sawa babuHebu siku moja nitafute tukutane tufanye majaribio...
Nakusubiri PM
Kweli mkuu?Serengeti lite ukipata ile barid basi utamu n zaid ya kupiz .
Hahaha kidogo tuWe nichomeshe mahindi tu... si ndo unachokipenda?