Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I
India
Uchungu ndo utamu wenyewe.. kisukari inakupigia miseleMnakula makitu machungu wakati fanta zipo watu kwa kupenda shida...
hata tule tuchupa twenye maji ya heinken au tule twa namibia?Tusiokunywa babu tunacomment wapi
Sure..K vant inafuta memory...
Sere lite ni kama makapi ya bia...
Fanta nzi kisha kipindupindu [emoji23]Mnakula makitu machungu wakati fanta zipo watu kwa kupenda shida...
Haya endeleeni kunywa makitu yenu machungu hayoFanta nzi kisha kipindupindu [emoji23]
Khantwe wewe hukunywi hata vile vi sweet sweet mvinyo?Haya endeleeni kunywa makitu yenu machungu hayo
Nashangaa kwenye mchuano hakuna bato kati ya
Masafi vs uhai
Kwa dar naona masafi kashampiga chini uhai
Azam energy vs mo energy[emoji23] [emoji23] kwa wanaume wa dar
Khantwe wewe hukunywi hata vile vi sweet sweet mvinyo?
Itabidi nikikupa ofa uchukue take away ukanywee ndani kwako.Hapana sijawahi kunywa labda siku unipe ofa teh
Itabidi nikikupa ofa uchukue take away ukanywee ndani kwako.
duuuuu hahahahahahaa
😀😀😀😀😀 khaaaa!!!!We si umeshashindikana? Mtoto unabugia konyagi kama maji...