Vita ya Vinywaji...

Vita ya Vinywaji...

mi binafsi k vamt sijawahi kuielewa kila nikinywa sipati nachokitaka kaabisa na nisipo kunywa konyagi sina amani kabisa ndani ya moyo yani najiona nimepoteza hela za bure tuu!
 
Hahahaaa! sisi wadau wa longi hatutupi jongoo na mti wake. mda utafika tu heshima itarudi. Serengeti hawana chao kwenye baa, fikiria bia zao za tusker na serengeti yenyewe, zinajikongoja na ni sababu tu ni za kitambo ndo maana bado ziko sokoni. Miaka michache ya nyuma walitoa serengeti yao (cha ajabu hata jina nimeisahau) lakini haikudumu hata miaka mitatu ikapotea, tena ilikuwa inapatikana baadhi ya maeneo tu.
Hawa jamaa kuna sehemu wanakosea.
Tatizo lao kubwa ni distribution!! Hawana wasambazaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sio kimbaumbau wewe

Dadaako NAHUJA ndo alipa hiyo picha yako...

1542219217665.png
 
Shida ya k vant wakuu inakata memory yote ukizima asubh hukubuki kilicho jiri jana zaidi ya kukumbuka mlango ulioingia pindi hujaanza kufyonza
Hahaahaaa.....[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, bora uhamie huku kwenye...[emoji39] [emoji39]
download.jpeg
 
Back
Top Bottom