Vita ya Vinywaji...

Vita ya Vinywaji...

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Salamuni...

Tukielekea kwenye maandalizi ya Sikukuu za mwisho wa mwaka... ambazo wale wenzangu na mimi tunaolipa kodi kupitia manywaji zinatuhusu... hebu sogeeni hapa tuwekane sawa kidogo....

Maana tumechoka kila siku tunasoma Dsm Vs Nairobi, Clouds Vs EFM, Wanaume wa Dar Vs wa Mikoani, Vibamia Vs Matango, Sura Vs Chura... gadeimm

Kuna vita kali imeibuka kwenye tasnia yetu ya ulipaji kodi kupitia ulabu
Pilsner lager Ikichuana na Balimi
Serengeti Lite ikiumana vibaya na Castle Lite
Na kuna hii ligi yenye mvuto wa aina yake imeibuka kati ya K Vant na Konyagi
1542202410562.png

1542202434640.png


Kwa wale wa Pepsi Vs Mirinda wanaweza kupiga juu kwa juu

Mimi kama mimi naona kama hii Vita ya Serengeti Lite Vs Castle lite... huyu Castle lite ni kama anapumulia mashine....

Hii ya K Vant Vs Konyagi... hapa naona njemba nyingi za nyagi zinahamia K vant kuunga mkono juhudi za kupoteza memory...

Ah ngoja niuchune hapa maana huu ulabu sichelewi kuandika matusi ...
 
Hahahaha...Mdau yuko team gani?

Kama ni team K vant najua utakuwa unapata shughuli pevu kunako... Majamaa yanasema eti K Vant... Hiyo K imesimama badala ya "K" pendwa mnayoimiliki kwenye via vya uzazi

uhuhuhuhuuu..... mbavu zangu hukuuu babuu jamani k og tena lol... mbona balaa sasa!! Hio k imeingiajeingiaje lakini mweh ??



cc Smart911 !!
 
Ila Nyagi wengi nasikia wanatimkia K vant kama CDM wanavyotimkia CCM kuunga mkono juhudi
Kutokana na kushindwa kudhibiti copy zake mtaani..kila kona konyagi zipo copy tu ukinywa ni kama gongo[emoji23] [emoji23]

Ila ukiipata yenyewe k vant bado sana kwa yule mnyama
 
uhuhuhuhuuu..... mbavu zangu hukuuu babuu jamani k og tena lol... mbona balaa sasa!! Hio k imeingiajeingiaje lakini mweh ??



cc Smart911 !!

Mi hata sijui... umekaona hako kadada??
Hebu vuta picha kakiKeiVantiwa na kamaa lililopiga ulabu K Vant

1542204556669.png
 
Kutokana na kushindwa kudhibiti copy zake mtaani..kila kona konyagi zipo copy tu ukinywa ni kama gongo[emoji23] [emoji23]

Ila ukiipata yenyewe k vant bado sana kwa yule mnyama
Yule mnyama hana shukrani bhana... Mi nikimgonga kesho nasahau yaliyojiri. Inafuta memory card kumkichwa ...

Afu haipendagi madharau ya kunywewa kijinga na wamama

1542204751172.png
 
Back
Top Bottom