Vita yaangamiza uchumi wa Iran, Rial 1.8 milioni yabadilishwa kwa Dola 1

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Tokea vita kati ya Israel na Marekani Vs Iran vianze, bei ya mafuta imezidi kupanda, na kuzinufaisha nchi wazalishaji wa mafuta. Lakini mambo ni tofauti kabisa kwa Iran iliyo chini ya vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi yake na Marekani na mataifa rafiki.

Inaelezwa kuwa tangu vita vianze, uchumi wa Iran unapomoka kwa viwango ambavyo havijawahi kutokea mahali popote Duniani. Thamani ya sarafu ya Iran, Rial imepotomoka mpaka kufikia rial milioni 1.8 kubafilishwa kwa dollar 1 ya Marekani.

Bei za vyakula zimepanda kwa 115%, huku wastani wa mfumko wa bei kwa ujumla ukiwa umefikia 68.9%. Katika kukabiliana na hali hiyo, rushwa na ufisadi kwa watumishi wa setikali, vimeongezeka maradufu, na kuzidi kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Wakati hayo yakiendelea, serikali ya Iran inasema kuwa mamilioni ya ajira zimepotea, huku serikali ikihangaika kurekebisha miundombinu na supply chain zilizoharibiwa na mashambulio ya kivita toka Israel na Marekani.

Kama hali ndivyo ilivyo, kwa nini Iran isikubaliane na uhalisia ili vita vikome moja kwa moja, na uhasama uishe ili wananchi wake, mataifa jirani na mahasimu wake, Israel waishi kwa amani, wahangaikie maendeleo kuliko kila siku ni vita tu?

Msimamo mkali wa Iran kuwa hakutakiwi kuwa na Taifa la Israel Duniani, na kwamba wayahudi wanatakiwa kuangamizwa, na kuwa ni agizo la Allah; ni kikwazo kikubwa sana kuumaliza uhasama kati ya Iran na Israel.

Kutokana na msimamo huo mkali wa Iran, unaifanya Israel kuona kila jitihada zinazofanywa na Iran kwenye masuala ya silaha (makombora ya masafa marefu na urutubishaji wa nuclear energy), uundwaji na uimarushaji wa makundi ya kigaidi, unalenga kutengeneza mazingira ya kuiangamiza Israel.

Lakini kwa upande mwingine, tamko la Ayatollah kuwa wasuni siyo waislam, na kwamba tawala zote za kisuni zinatakiwa kuondolewa, umejenga uhasama na mataifa ya kiarabu.

Kama Iran haitaweza kufuta falsafa zake hizo mbili: dhidi ya Israel na dhidi ya wasuni, Mashariki ya kati haitakuja kuwa na amani, na wairan wataendelea kuishi kwenye mateso yanayosababishwa na uchumi duni.

Iran’s economy is in a state of freefall, reeling from years of harsh sanctions, systemic corruption, and the severe impacts of the recent war.

The country is facing a historic economic crisis characterised by widespread infrastructure destruction, mass job losses, skyrocketing food prices, and a collapse of the national currency.

The Iranian rial has plummeted to historic lows, reaching up to 1.8 million to the U.S. dollar.
Overall inflation hovers around 68.9%, with food inflation soaring past 115%.
 
Haya mambo ya currency na economy kuna muda tunapangwa sana.Ni kama kuna vitu viko kwenye makaratasi kuliko uhalisia.

Kama kweli currency yao imefikia hatua hii Iran angekuwa katupa gwanda na kukimbia vita lakini naona ndio kwanza hawana habari.Anyway,mwisho wa siku wote lazima tulipe gharama za hii vita za *******
 
Hizo hesabu zinachanganya ukienda Iran na usd 1 unadhani utafanya shopping ya kila kitu. Mwaka jana mwezi wa 9 tulikuwa Qeshm Island karibu Kabisa Na Strait of Hormuz nyanya ziliisha melini ikabidi tununue kwa 100usd lile tenga moja la Mbao. Hapo bado usafiri wa boat ndogo iliyoleta
 
Tokea vita kati ya Israel na Marekani Vs Iran vianze, bei ya mafuta imezidi kupanda, na kuzinufaisha nchi wazalishaji wa mafuta. Lakini mambo ni tofauti kabisa kwa Iran iliyo chini ya vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi yake na Marekani na mataifa rafiki.

Inaelezwa kuwa tangu vita vianze, uchumi wa Iran unapomoka kwa viwango ambavyo havijawahi kutokea mahali popote Duniani. Thamani ya sarafu ya Iran, Rial imepotomoka mpaka kufikia rial milioni 1.8 kubafilishwa kwa dollar 1 ya Marekani.

Bei za vyakula zimepanda kwa 115%, huku wastani wa mfumko wa bei kwa ujumla ukiwa umefikia 68.9%. Katika kukabiliana na hali hiyo, rushwa na ufisadi kwa watumishi wa setikali, vimeongezeka maradufu, na kuzidi kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Wakati hayo yakiendelea, serikali ya Iran inasema kuwa mamilioni ya ajira zimepotea, huku serikali ikihangaika kurekebisha miundombinu na supply chain zilizoharibiwa na mashambulio ya kivita toka Israel na Marekani.

Kama hali ndivyo ilivyo, kwa nini Iran isikubaliane na uhalisia ili vita vikome moja kwa moja, na uhasama uishe ili wananchi wake, mataifa jirani na mahasimu wake, Israel waishi kwa amani, wahangaikie maendeleo kuliko kila siku ni vita tu?

Msimamo mkali wa Iran kuwa hakutakiwi kuwa na Taifa la Israel Duniani, na kwamba wayahudi wanatakiwa kuangamizwa, na kuwa ni agizo la Allah; ni kikwazo kikubwa sana kuumaliza uhasama kati ya Iran na Israel.

Kutokana na msimamo huo mkali wa Iran, unaifanya Israel kuona kila jitihada zinazofanywa na Iran kwenye masuala ya silaha (makombora ya masafa marefu na urutubishaji wa nuclear energy), uundwaji na uimarushaji wa makundi ya kigaidi, unalenga kutengeneza mazingira ya kuiangamiza Israel.

Lakini kwa upande mwingine, tamko la Ayatollah kuwa wasuni siyo waislam, na kwamba tawala zote za kisuni zinatakiwa kuondolewa, umejenga uhasama na mataifa ya kiarabu.

Kama Iran haitaweza kufuta falsafa zake hizo mbili: dhidi ya Israel na dhidi ya wasuni, Mashariki ya kati haitakuja kuwa na amani, na wairan wataendelea kuishi kwenye mateso yanayosababishwa na uchumi duni.

Iran’s economy is in a state of freefall, reeling from years of harsh sanctions, systemic corruption, and the severe impacts of the recent war.

The country is facing a historic economic crisis characterised by widespread infrastructure destruction, mass job losses, skyrocketing food prices, and a collapse of the national currency.

The Iranian rial has plummeted to historic lows, reaching up to 1.8 million to the U.S. dollar.
Overall inflation hovers around 68.9%, with food inflation soaring past 115%.
Cha ajabu hakuna hata nchi moja afrika inayoizidi kiuchumi iran

Vikwazo ndio maisha yao na maisha yao ndio vikwazo
 
kwani mbona hii hoja unarudi , ni leo hiyo pesa imeshuka hivyo..Mbona ni muda sana hata mwaka unafika kabla ya vita
 
Hizo hesabu zinachanganya ukienda Iran na usd 1 unadhani utafanya shopping ya kila kitu. Mwaka jana mwezi wa 9 tulikuwa Qeshm Island karibu Kabisa Na Strait of Hormuz nyanya ziliisha melini ikabidi tununue kwa 100usd lile tenga moja la Mbao. Hapo bado usafiri wa boat ndogo iliyoleta
Mi nipo asaluyeh hapa mwaka wa nne huu nilichogundua propaganda inawamaliza sana raia wasioijua Iran
 
Tokea vita kati ya Israel na Marekani Vs Iran vianze, bei ya mafuta imezidi kupanda, na kuzinufaisha nchi wazalishaji wa mafuta. Lakini mambo ni tofauti kabisa kwa Iran iliyo chini ya vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi yake na Marekani na mataifa rafiki.

Inaelezwa kuwa tangu vita vianze, uchumi wa Iran unapomoka kwa viwango ambavyo havijawahi kutokea mahali popote Duniani. Thamani ya sarafu ya Iran, Rial imepotomoka mpaka kufikia rial milioni 1.8 kubafilishwa kwa dollar 1 ya Marekani.

Bei za vyakula zimepanda kwa 115%, huku wastani wa mfumko wa bei kwa ujumla ukiwa umefikia 68.9%. Katika kukabiliana na hali hiyo, rushwa na ufisadi kwa watumishi wa setikali, vimeongezeka maradufu, na kuzidi kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.

Wakati hayo yakiendelea, serikali ya Iran inasema kuwa mamilioni ya ajira zimepotea, huku serikali ikihangaika kurekebisha miundombinu na supply chain zilizoharibiwa na mashambulio ya kivita toka Israel na Marekani.

Kama hali ndivyo ilivyo, kwa nini Iran isikubaliane na uhalisia ili vita vikome moja kwa moja, na uhasama uishe ili wananchi wake, mataifa jirani na mahasimu wake, Israel waishi kwa amani, wahangaikie maendeleo kuliko kila siku ni vita tu?

Msimamo mkali wa Iran kuwa hakutakiwi kuwa na Taifa la Israel Duniani, na kwamba wayahudi wanatakiwa kuangamizwa, na kuwa ni agizo la Allah; ni kikwazo kikubwa sana kuumaliza uhasama kati ya Iran na Israel.

Kutokana na msimamo huo mkali wa Iran, unaifanya Israel kuona kila jitihada zinazofanywa na Iran kwenye masuala ya silaha (makombora ya masafa marefu na urutubishaji wa nuclear energy), uundwaji na uimarushaji wa makundi ya kigaidi, unalenga kutengeneza mazingira ya kuiangamiza Israel.

Lakini kwa upande mwingine, tamko la Ayatollah kuwa wasuni siyo waislam, na kwamba tawala zote za kisuni zinatakiwa kuondolewa, umejenga uhasama na mataifa ya kiarabu.

Kama Iran haitaweza kufuta falsafa zake hizo mbili: dhidi ya Israel na dhidi ya wasuni, Mashariki ya kati haitakuja kuwa na amani, na wairan wataendelea kuishi kwenye mateso yanayosababishwa na uchumi duni.

Iran’s economy is in a state of freefall, reeling from years of harsh sanctions, systemic corruption, and the severe impacts of the recent war.

The country is facing a historic economic crisis characterised by widespread infrastructure destruction, mass job losses, skyrocketing food prices, and a collapse of the national currency.

The Iranian rial has plummeted to historic lows, reaching up to 1.8 million to the U.S. dollar.
Overall inflation hovers around 68.9%, with food inflation soaring past 115%.
Si kweli

Screenshot_2026-06-10-10-28-21-41_dc00545bd3b8828f033a02ac25b2d36d.jpg

Hela ya Iran ilishuka kabla ya Vita around jan-Feb ikasababisha maandamano then ndio vikaja vita, wakati wa vita mpaka sasa ipo stable.
 
Ni kweli uchumi umeyumba ila toa data za kweli sio kutuletea data za face book
1usd equals to approximately 1.38 rial au na wewe ni muhanga wa Hesabu?
 
Msimamo mkali wa Iran kuwa hakutakiwi kuwa na Taifa la Israel Duniani, na kwamba wayahudi wanatakiwa kuangamizwa, na kuwa ni agizo la Allah; ni kikwazo kikubwa sana kuumaliza uhasama kati ya Iran na Israel.
Acha propaganda za kitoto, Pakistan mbona haitambui uwepo wa Israel, inasupport Hamas, na ina nuclear mbona Israel haijawahi ivamia au kuwa na uhasama?
Inaelezwa kuwa tangu vita vianze, uchumi wa Iran unapomoka kwa viwango ambavyo havijawahi kutokea mahali popote Duniani
Uchumi wa Iran tokea vikwazo umepitia changamoto wala haihusiani na vita. Tatizo lako kila kitu unaangalia kwa dollar, hao wanatumia Yuan kufanya biashara zao na wanapeg sarafu yao kwa Yuan sio Dollar so hauwezi compare na dollar.
uundwaji na uimarushaji wa makundi ya kigaidi, unalenga kutengeneza mazingira ya kuiangamiza Israel.
Yes Israel pia inaimarisha makundi ya kigaidi kupambana na Iran. Kuanzia RSF, ISIS, HTS, YPG, YPJ, PKK so kwa logic hii Israel pia ni wafadhili wa ugaidi.
 
Kama Iran haitaweza kufuta falsafa zake hizo mbili: dhidi ya Israel na dhidi ya wasuni, Mashariki ya kati haitakuja kuwa na amani, na wairan wataendelea kuishi kwenye mateso yanayosababishwa na uchumi duni.
Acha upotoshaji, mbona Hamas ni wasunni na bado Iran inawasaidia? Sudan mbona ni wasunni ila Iran inasaidia serikali yao kupambana na waasi?. Tatizo hao gulf countries ni vibaraka wa USA kama wangekubali kuwa independent basi wasingekua na uhasama ila wanatumika kumdhoofisha Iran maana wanajua bila vikwazo hakuna taifa la MENA litamfikia Iran kwa uchumi.
Hio ndio dawa ya magaidi.

Waendelee kuchapwa.
Magaidi ni Israel na USA wanaovamia nchi za watu na kupora mafuta na rasilimali zingine.
 
Back
Top Bottom