Vitabu 31 vya kusoma mwaka 2021 ili maisha yako yawe bora zaidi

Nina softcopies zaidi ya 600+,Naishia kuangalia macover tu[emoji42],
Siwezi kumaliza page 5 nifanyaje?
Bora kusoma kimoja na kukifanyia kazi kuliko kutiririka wee
... utakuwa kama mwanafunzi ambaye kamwe hagraduate, yani husoma tu.
Maisha hayatutoshi kujua kilakitu, changua field moja kama ni kilimo, au bishara ... Soma vitu vinavyohusu iyokitu bobea huko... Vingine utalipia huduma. Mfano sheria, Afya nk huwezi kujua kilakitu huko ni kutangatanga...[emoji1]

Angalia manabii flanflan wameikariri bible tu wanapiga ela..
 
Asante kwa hii orodha nutaifanyia kazi
 
Tatizo lipo kwenye lugha sio kusoma
 
Halafu mwaka tushaupiga nusu ujue,Mkuu uzi umecheleweshwa au tuupeleke mbele ili Iwe 2022.
 

Asante sana mkuu
 
Binafsi nimepia tu Maelekzo ya hivi vitabu vikanipa mtazamo Mpya ,, kikubwa Cha kuzingatia ni kusoma na kuchukua hatua! learn as much as possible but is not necessary to follow each thing you learn,,,,,,,,,,. Akili za kuambiwa changanya na zako[emoji1666]
 
Duuuuuuuh mbona jiwe kwa sifa hizi alikuwa dictotar haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…