Vitabu bora sana vinavyoweza kubadilisha maisha yako

highland

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
295
Reaction score
853
Wakuu habari,

Kuna baadhi ya vitabu ukishasoma, vinabadilisha kabisa maisha yako katika namna ya ajabu sana, mimi binafsi napendelea vitabu vinavyozungumzia mambo ya kiroho na kisaikolojia.

Kama unapenda vitabu vya aina hiyo ambavyo vimeandikwa kwa lugha rahisi ya kiingereza yenye kushawishi kusoma kila wakati hadi wakati mwingine vinakutengenezea addiction kabisa ya kusoma na kusoma na kusoma tena basi hapa chini nimeweka baadhi ya hivyo vitabu.

1: UNTETHERED SOUL-THE JOURNEY BEYOND YOURSELF (MICHAEL A. SINGER)

2: YOU ARE THE PLACEBO-MAKING YOUR MIND MATTER (DR. JOE DISPENZA)

3: MASTERY OF SELF (DON MIGUEL LUIZ)

4:THE FIVE LEVELS OF ATTACHMENTS (DON MIGUEL LUIZ)

5:THE THREE QUESTIONS-HOW TO DISCOVER AND MASTER THE POWER WITHIN YOU (DON MIGUEL LUIZ)

Wakuu tuendelee kushare ni kitabu gani kilibadilisha
 
Vitabu vya ujasiriamali. Tena hivi vya kiswahili tu.

Hakika hivi vitabu vimenisaidia sana kubadili mtazamo wa akili yangu.
 
Vitabu vya ujasiriamali. Tena hivi vya kiswahili tu.

Hakika hivi vitabu vimenisaidia sana kubadili mtazamo wa akili yangu.
kabisa mkuu ila pia kuna hiki kitabu kinaitwa THE ART OF STARTUP AND FUNDRAISING kimeandikwa na ALEJANDRO CREMADES kipo vizuri sana, kitafute mkuu
 
I'm strictly against the bible and jesus
 
I'm strictly against the bible and jesus
sawa mkuu tafuta hiki kitabu BECOMING SUPERNATURAL kimeandikwa na DR. JOE DISPENZA kina madini sana kama bibile huielewi
 
Mkuu kama hutojali,naomba nitumie kitabu no 5
 
nmeona vitab vingi mara sjui biblia mara sjui rich daddy ila dah kwakweli Holly Quran ni kiboko yao maana kila unapokwenda kwenye utabibu kwa maswala ya kiroho au ya kimwili lazma wakitumie kwakweli ....Quran kiboko ya vitab vyote
 
Biblia ndio kitabu chenye maneno ambayo ukiyaamini yanafanyika vitu halisi (mwili) kwenye maisha yako.
Vibgine vyote havina hiyo sifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…