Vitabu gani ni vizuri vya pure math

Vitabu gani ni vizuri vya pure math

calvean

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
26
Reaction score
0
Naombeni nisaidie kwajina la kitabu na mwandishii kama inawezekana.
 
Pure 1&2 ,chand volume zote,tranta, understanding na Review.
NB:solve mifano yote ya pure 1&2 ndo huwa maswal ya NECTAP mara nyingi
 
backhouse 1 na 2 core

Backhouse 1 ni ya bam...mtu wa pure tumia kwa cod1 tu then fungia kabatin au mpe mtu wa pcb..cbg watumie!!
Kwa mtu wa pure maths hivi napendekeza
1)chand class 11( hii iko na trig nzuri na algebra)
2)chand class 12 hii ndio baba wa yote....integrals,D.Ena nyinginezo zipo za kumwaga!! Na hiki anza kusolve tokea form5..
3)backhouse 2 (au pure 2) hii nayo iko safi na ina maswali ambayo yana challenge sana..
4)c.j tranter
Hiki kwa beginners(form5) siwashauri sana maana kipo na maswal ambayo kama usipokua na moyo unaeza ama kombi.
Ila kwa wale nakonkodi(form6) hiki kitawafaa sana.
Zaidi:
Jarib sana kutafuta past pepa za shule na sio necta..hapa naongelea pamflects zenye maswal ya shule mbali mbali then solve them!!! Bila kusahau series(mitihani ya kujipima hasa kwa wale wa form6), discussion NA UIPENDE TOKA MOYONI KOMBI YAKO!!! maths for life!!!!
 
Pure 1&2 ,chand volume zote,tranta, understanding na Review.
NB:solve mifano yote ya pure 1&2 ndo huwa maswal ya NECTAP mara nyingi

Siku hizi hakuna swali la necta linalorudia labda miaka hiyo mkuu
 
Naombeni nisaidie kwajina la kitabu na mwandishii kama inawezekana.

Tafuta vitabu vilivyoainisha kwenye syllabus ya A-level maths ya Tanzania au ambavyo mwalim wako wa somo ame/ata kuelekeza kuvisoma, usisome some tu kila kitu mwisho ukajikuta hukujifunza chochote..!!
 
Pure 1&2 ,chand volume zote,tranta, understanding na Review.
NB:solve mifano yote ya pure 1&2 ndo huwa maswal ya NECTAP mara nyingi

sawa ahsante, hzo understanding mwandish nan,na ndo jina lake hlo 2.
 
Backhouse 1 ni ya bam...mtu wa pure tumia kwa cod1 tu then fungia kabatin au mpe mtu wa pcb..cbg watumie!!
Kwa mtu wa pure maths hivi napendekeza
1)chand class 11( hii iko na trig nzuri na algebra)
2)chand class 12 hii ndio baba wa yote....integrals,D.Ena nyinginezo zipo za kumwaga!! Na hiki anza kusolve tokea form5..
3)backhouse 2 (au pure 2) hii nayo iko safi na ina maswali ambayo yana challenge sana..
4)c.j tranter
Hiki kwa beginners(form5) siwashauri sana maana kipo na maswal ambayo kama usipokua na moyo unaeza ama kombi.
Ila kwa wale nakonkodi(form6) hiki kitawafaa sana.
Zaidi:
Jarib sana kutafuta past pepa za shule na sio necta..hapa naongelea pamflects zenye maswal ya shule mbali mbali then solve them!!! Bila kusahau series(mitihani ya kujipima hasa kwa wale wa form6), discussion NA UIPENDE TOKA MOYONI KOMBI YAKO!!! maths for life!!!!

Shukran sana.
Hyo backhouse 2 (pure 2) vitab viwili tofauti
 
mkuu hapo kwenye tranter umenifurahishaa sana! Coz hcho ktabu hasa kwenye topic ya cordinate 1 yaan kama una moyo unaweza kuhama comb!! daah inshort kitabu cha tranter ni noumaaa
 
Kitu cha Tranter a.k.a shetani mwekundu ni no noumer aise

Kweli kabisa kile ni mfuniko.Utakuta mifano ya kueleweka,gusa exercise sasa uone,weee.Ila bana tranter inafaa sana kwa co-ordinate geometry I na hata complex,sababu kuna vijiconcept vya maana pale.
 
Mmenifanya nianze kununua hivi vitabu nikumbukie hesabu za A level

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
calvean pure one na two au backhouse one na two ni vya mwandishi mmoja na pure two ni mwendelezo wa one!!! Nunua pure two one utaikuta skul library au kwa rafiki...
 
Last edited by a moderator:
Backhouse 1 ni ya bam...mtu wa pure tumia kwa cod1 tu then fungia kabatin au mpe mtu wa pcb..cbg watumie!!
Kwa mtu wa pure maths hivi napendekeza
1)chand class 11( hii iko na trig nzuri na algebra)
2)chand class 12 hii ndio baba wa yote....integrals,D.Ena nyinginezo zipo za kumwaga!! Na hiki anza kusolve tokea form5..
3)backhouse 2 (au pure 2) hii nayo iko safi na ina maswali ambayo yana challenge sana..
4)c.j tranter
Hiki kwa beginners(form5) siwashauri sana maana kipo na maswal ambayo kama usipokua na moyo unaeza ama kombi.
Ila kwa wale nakonkodi(form6) hiki kitawafaa sana.
Zaidi:
Jarib sana kutafuta past pepa za shule na sio necta..hapa naongelea pamflects zenye maswal ya shule mbali mbali then solve them!!! Bila kusahau series(mitihani ya kujipima hasa kwa wale wa form6), discussion NA UIPENDE TOKA MOYONI KOMBI YAKO!!! maths for life!!!!
aisee Tranta ni habari nyingine mkuu.
pia ikumbukwe Pure 1, Pure 2 na Tranta sio Text books so kwa mtu ane hitaji kusoma na kuelewa si vyema aanze navyo hivyo vitabu bora aanze na Chandi(Mkate) ndo aje kwa Pure 1 &2 na Tranta
 
True man....mimi tranta nliifungia kwenye tranka..nkadeal na pure 2 na chand zote bila kusahau pamflects na series za pepa!!! Nliifurahia maths kwa kwel na bado naifurahia!!!
 
Back
Top Bottom