Vitabu gani ni vizuri vya pure math

Vitabu gani ni vizuri vya pure math

mkuu hapo kwenye tranter umenifurahishaa sana! Coz hcho ktabu hasa kwenye topic ya cordinate 1 yaan kama una moyo unaweza kuhama comb!! daah inshort kitabu cha tranter ni noumaaa


daah, Tranter amenipa maujanja mpaka baasi. Ni kitabu safi sana.
 
Back
Top Bottom