Vitabu gani upendavyo kuvisoma kwa kujielimisha au kujifurahisha?

Vitabu gani upendavyo kuvisoma kwa kujielimisha au kujifurahisha?

GokuOne

Senior Member
Joined
Jan 19, 2022
Posts
196
Reaction score
263
Habarini wanaJF na kazi iendelee.

Moja kwa moja kwenye mada.

Je, ni vitabu gani pendwa upendavyo kuvisoma aidha kwa lengo la kujielimisha au kujifurahisha.

Angusha listi yako hapa ikiwezekana hata soft copy kama zipo.

Nawasilisha.

R160027347.jpg
 
Attachments

Kunahusu nini hiki
kinahusu spy wa Uingereza kitengo cha MI6 maarufu kama James Bond (Agent 007) katika harakati za kupambana na vichaa wanaotaka kufanya uharibifu duniani hususan kwa kulidhuru taifa la Uingereza. Ndiyo msingi wa filamu zote za James Bond.

umeridhika na maelezo?
 
Ndio
 
Tusome kwa furaha.Hasa zile hadithi za Bulicheka na Lisabeta,Makari hodari na ile ya Paulo hatutaki kucheza na wewe.Funny,huh!
 
Back
Top Bottom