Kunahusu nini hikiHabarini wanaJF na kazi iendelee.
Moja kwa moja kwenye mada.
Je, ni vitabu gani pendwa upendavyo kuvisoma aidha kwa lengo la kujielimisha au kujifurahisha.
Angusha listi yako hapa ikiwezekana hata soft copy kama zipo....:
Nawasilisha........
View attachment 2127183
kinahusu spy wa Uingereza kitengo cha MI6 maarufu kama James Bond (Agent 007) katika harakati za kupambana na vichaa wanaotaka kufanya uharibifu duniani hususan kwa kulidhuru taifa la Uingereza. Ndiyo msingi wa filamu zote za James Bond.Kunahusu nini hiki
Ndiokinahusu spy wa Uingereza kitengo cha MI6 maarufu kama James Bond (Agent 007) katika harakati za kupambana na vichaa wanaotaka kufanya uharibifu duniani hususan kwa kulidhuru taifa la Uingereza. Ndiyo msingi wa filamu zote za James Bond.
umeridhika na maelezo?
We acha tu mkudah kinaleta feelings za simanzi kali