Vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo ya upambanaji?

Vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo ya upambanaji?

Mdau tu

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
22
Reaction score
22
Nilikua nauliza vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo mazuri katika maisha na hustling?
 
eaglesbookstores-20240511-0001.jpg
 
Usiache pia kusoma "It it possible?" By HR Ole Kulet.
 
Naipa wapi nakala
Visit 👇


Ikiwa unahitaji Kupata nakala O.G ya ya Lugha zote mbili, nikushauri kutembelea EAGLES BOOKSTORE;
👇


Wauzaji wa wasambazaji wa vitabu na makala tofautitofauti nchini. Kama upo Dar fika Ubungo Mataa, kama upo mkoani unaweza wasiliana nao.
 
Back
Top Bottom