Vitabu hivi vitatu ukiunganisha unapata picha kamili ya Tanzania na utawala ulivyo sasa na kuelekea

Vitabu hivi vitatu ukiunganisha unapata picha kamili ya Tanzania na utawala ulivyo sasa na kuelekea

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tujikumbushe vitabu vitatu.Kiukweli kama ukiinganisha unaona jinsi serikali ya ccm ilivyo.

1.kitabu cha kwanza kinaonesha utawala wakijiona zaidi ya juha.
images (17).jpeg

2.Katika nchi kila kitu kinasadikika na utawala unakuwa wa kusadikika na wenye kufanya lolote.
Kusadikika_jalada.jpg

3.Nguo wanazo zivaa nikubwa kuliko walivyo.
images (18).jpeg
 
Nimefurahi saana huu mtazamo wako umenikumbusha mbali na ndio ukweli halisi
 
Back
Top Bottom