vitabu kibao vya mapishi hapa

vitabu kibao vya mapishi hapa

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
jamani kwa wapezi wa hili jukwaa, unaombwa kama una kitabu chaa mapishi ukiweke hapa kwa faida ya wote
 
jamani kwa wapezi wa hili jukwaa, unaombwa kama una kitabu chaa mapishi ukiweke hapa kwa faida ya wote

ukiachilia vitabu mapishi vile vile ni utundu tu ,kuwa mbunifu upate pishi jipya ukifuata recipe ya vitabu itakuchanganya
 
Mbona hija post hata kitabu kimoja???

Nasubili
 
Hasa ukiwa na internet access...I don't see why you need a book.
 
Back
Top Bottom