VITABU KWA BEI YA JUMLA

VITABU KWA BEI YA JUMLA

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Habari naulizia kwa hapa Dar Es Salaam ni wapi naweza nunua vitabu (si vya shule) kwa bei ya jumla?
 
Mkuu Ungespecify vitabu viko vingi saaana kuna vya dini,siasa,uchumi,ujasiriamali,uchawi,mapenzihadithi,riwaya,upelelezi,ujasusi,nk nk sasa ww unataka vitabu vya aina gani?kuna vya kiswahili,kingereza,kifaransa,kiarabu,kijerumani nk nk ww unataka vya lugha ipi Mkuu?toa maelezo yaliyonyooka ili usaidiwe..






















Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Back
Top Bottom