Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

Nimeipenda hii self discipline, ngoja niiweke katika plan ya 2025 🤝
 
Mimi nimesoma only four books .

Binafsi huwa napend kujifunza haya mambo .

Money and hustling
Emotions and EI
Universe laws .
 

Attachments

  • Screenshot_20241225-164558_1735134394286.jpg
    196.2 KB · Views: 8
Hongera sana , Mimi Kwa mwaka nikisoma sana ni vitabu 4 , naomba unisaidiye mbinu inayo kuwezesha kusoma vitabu VINGI hivyo mkuu.
 
Hizo stori ni chachu ya kuuza hivyo vitabu. Mimi sijasema mtu asisome vitabu ila napinga mtu kusomasoma hovyo.

Katika swala la siasa wewe wala huitaji kusoma vitabu wewe unatakiwa uwe mtu wa ndio mkuu!!! hapo mambo yako yataenda bila wasiwasi,katika siasa ni zambi kufikiria nje ya box hutakiwi kufikiria kwa akili zako bali kufata nini maGODFATHER wako wanataka.

Huwezi nishawishi mimi kusomsoma hovyo maana hakuna faida zaidi ya kuwa mtumwa wa fikra za watu.Hao waandishi wanawalaghai na stori za mafanikio ili mununue vitabu vyao wao waendelee kupiga pesa. Stuka ondoka kwenye huo utumwa!!!
 
Tuwekee baadhi PDF zake hapa na sisi tusome mkuu
 
Swala la wafanyakazi kununua magari kwa mkopo huku hawana kipato cha kueleweka nalo hilo mpaka usome kitabu for real!!!!

Hivi vitabu kama vya Yeriko na vyenyewe utaita vitabu😄😄😄copy and paste.Yaani kuna waandishi ukiangalia jinsi wanavyopiga pesa za wajinga unabaki kucheka tu.

Utumwa wa fikra upo kwenye hivyo vitabu, vitabu vinakufanya uwe na akili ya delusional, inapunguza creativity.

Kama wewe ni mechanics soma vitabu vya mechanics, kama wewe ni politician base huko. Acheni kupoteza muda na kujipa umuhimu. utaishia kujisifiasiafia kuwa umesoma vitabu vingi lakini kiuhalisia UMEACHIVE NOTHING!!!!. STOP BEING A JACK OF ALL TRADE AND A MASTER OF NONE.
 
Muongo mkubwa sana wewe. Huwezi soma hivyo vitabu kwa mwaka mmoja..labda ulikuwa unasoma heading
 
Wewe genius mkuu,umechagua fungu lililo jema sana,keep it up in the air.
 
Hongera sana Mkuu mimi nimesoma hivi:

1. Mashujaa wa Tanzania cha J.E. Mhina
2. Reli ya Uhuru cha J.P. Mbonde
3. Saving Justice by James Covey
4. Negotiating with Tough Customers by Steve Reilly
5. The White Nile by Alan Moorehead
6. The Art of Negotiations by Tim Castle
7. Duarani cha Amos Bwire
8. Meditations by Marcus Aurelius
9. Edible Economics by Ha-Joon Chang
10. Surrounded by Setbacks by Thomas Erikson
11. Up and Out of Poverty by Xi Jinping
12. A book of Secrets by Derren Brown
13. On my Father's Wings by Michael Shirima
14. Ukombozi kutoka kitabuni cha Maneno A. Mung'ong'o
15. Emotion by Design by Greg Hoffman
16. Only the Paranoid Survive by Andrew Grove
17. Historia ya Mapambano ya Mwafrika cha Hilary Mapunda
18. Mzazi acha Uzembe cha John Magoda
19. Livingstone's Last Journey by Reginald Coupland
20. Learning from Construction Failures by Peter Campbell
21. The Lenovo Way by Gina Qiao and Yolanda Conyers
22. The Monk who sold his Ferrari by Robin Sharma
23. Operesheni Kashmir cha Kamanda Amata
24. The new case for Gold by James Ruckards
25. So Good! They can't Ignore You by Carl Newport
26. Methali za Wahaya cha Mujuni na Dina Byabato
27. Outlive by Dr. Peter Attia
28. The Body keeps the score by Bessel Van Der Kolk
29. Cha Kale ni Dhahabu cha Mzee Yusuf Makamba
30. Mzozo wa ardhi ya Wameru cha Kirilo Japhet na Earl Seaton
31. Digital Minimalism by Carl Newport
32. Healing is The New High by Vex King.
 
Muongo mkubwa sana wewe. Huwezi soma hivyo vitabu kwa mwaka mmoja..labda ulikuwa unasoma heading
Inawezekana mkuu katika hyo list kitabu nilichotumia mda mrefu ni long walk to freedom by NELSON Mandela maana nikirefu haswa nilikuwa ninakisoma sana sana siku za weekend nilitumia miezi miwili kwasababu ya mpangilio wake ulivyo ila sikulazimishi uniamini mkuu.

Lakini kitu kikubwa kwenye kusoma ni vocabulary nina mwaka wa 5 tangia nianze kusoma vitabu wakati naanza nilikuwa nasoma pages 5 kwa siku kwasababu ilikuwa maneno mengi yananisumbua maana yake nikawa natumia WORDWEB AND ENGLISH SWAHILI DICTIONARY zimenisaidia sana naweza kusoma pages 10 bila kuangalia maana ya neno hata moja kwasababu maneno mengi nishakutuna nayo siyo mageni kwangu kwa hyo nasoma bila kusimama.

Vitabu ambavyo nimetumia mda mrefu ni NEW WORLD ORDER na LONG WALK TO FREEDOM maana ni virefu sana ila kitabu cha pages 250 natumia siku nne tu ukimaliza sasa kwenye hyo list vitabu vingi havizidi 250 pages.

Lakini kwenye kusoma kuna level mkuu kuna BEGINNERS KUNA AMATEUR KUNA EXPERTS HALAFU KUNA PRO sasa inategemea upo level gani mkuu.

Alamsik.
 
Asante mkuu tupia softcopy zake ili tuweke kwenye list ya mwakani.
 
Kwahiyo kitu gani umegain kwenye hivyo vitabu vyote kama si kupoteza muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…