Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

Mwanzo nilijua unata kuelewa lakini kupitia comments zako nimegundua una tatizo personal mkuu ,
Kwanza sijamlazimisha mtu kusoma vitabu hilo ulifahamu yaani mimi kwa perception niliyonayo kwenye vitabu natakiwa nipelekwe sober siwezi kuacha kusoma vitabu mimi najua faida zake nyingine siwezi kuzitaja hapa ila mimi ndio nimechagua njia hyo kama wewe ulivyochaguwa kushinda Facebook Instagram tiktok WhatsApp na kuangalia movie.
Kama vitabu vinapoteza ngoja nipotee mkuu ila mimi nimechagua njia hyo kumbuka hata hyo elimu uliyo nayo imetokea kwa wazungu 80% ya vitu unavyomiliki au ulivyonavyo vimetoka kwa wazungu kuanzia laptop yako simu yako gari yko nguo zako sasa kama huo ndio ujinga kwa nini mimi nisiwe mjinga na mtumwa wa kama hao wanaokuletea vitu mkuu.

Alamsik.
 
Kwa list Hmen's s every week unamaliza kitabu kimoja
Kwa wastani hapo unatakiwa usome kitabu kimoja Kila wiki ndo umalize. Jambo gumu sana
 
Ilifaa hiyo orodha uipakie hapa sasa tuyapakue hayo mapdf na siye
Sawa mkuu ila nimeweka baadhi huko juu bado vichache ntavimalizia maana vipo kwenye devices mbili tofauti.
 
Kwa list Hmen's s every week unamaliza kitabu kimoja

Kwa wastani hapo unatakiwa usome kitabu kimoja Kila wiki ndo umalize. Jambo gumu sana
Ndio hivyo mkuu ni time management tu sasa nakushauri soma kitabu cha THE POWER OF YOUR SUBCONSCIOUS MIND BY JOSEPH MURPHY halafu ukimaliza ulete mrejesho hapa defeat and wins all starts in the mind if you say no your mind will collect hundred reasons why is impossible but if you say yes your mind will find a way to solve it.
 
Hongera sana , Mimi Kwa mwaka nikisoma sana ni vitabu 4 , naomba unisaidiye mbinu inayo kuwezesha kusoma vitabu VINGI hivyo mkuu.
Ni time management mkuu na kusoma kwa mda mrefu kwasababu vocabulary nyingi sana zilikuwa zinanisumbua ila jaribu kutumia dictionary ukizoea vocabulary nyingi utasoma kwa kuelewa na utasoma page nyingi sana punguza matumizi ya Facebook Instagram tiktok na movie utatoboa.
 
Kwenye siasa ukiingia bila mtu wa kusoma soma wanakupoteza nadhani humu kuna vijana wa ccm na chadema waulize heshima yao inatokana na nini kwenye kuwaandaa kwenye siasa lazima kuna baadhi ya vitabu uvisome la sivyo watu watasafirisha mapema sana.
 
The New Case for Gold kitabu safi
 
Safi
 
hichi hapa kitasaidia vijana wanaoteseka na PULI.
Sio vijana tu. Hadi watu wazima na wazee wana uraibu na kupiga punyeto. Hii yote ni utandawazi na kutapakaa kwa video za pornography.

Katika vitu vinakula muda sana wa watu na kuwaweka mbali na mafanikio yano pamoja na pornography na masturbation.
 
Asante mkuu utakacho kipenda nita share na ww kati ya hvyo
Ninatamani kusoma hivi vitabu mwaka ujao, 2025 ( cha 3 na 4) kwenye orodha yako.
  • The big picture BY BEN CARSON
  • Take the risk BY BEN CARSON
Tafadhali sana ninaomba msaada wako wa kuvipata.
 
Ninatamani kusoma hivi vitabu mwaka ujao, 2025 ( cha 3 na 4) kwenye orodha yako.
  • The big picture BY BEN CARSON
  • Take the risk BY BEN CARSON
Tafadhali sana ninaomba msaada wako wa kuvipata.
malizia na hii mkuu
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…