Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

Mkuu naomba hicho cha THINK BIG by ben carson tafadhali
 
mzigo mwingine huu hapa
 
Attachments

Mauwongo tu.
MTz ni vitabu wapi na wapi..acheni faking...

Maongezi ya mswahili toka anaamka hadi anaenda kulala yametawaliwa na Yanga na Simba, na uchambuzi wa akina Jemedari, Oscar, anapata muda wapi wa kusoma vitabu.
 
Umenisikitisha ulivyoamua kumjibu Wajinga huwa wanatafuta nafasi hiyo ili wajue ujinga wao una Athari kiasi gani siku ingine piga kimya acha takataka ziende jalalani.
 
Umenisikitisha ulivyoamua kumjibu Wajinga huwa wanatafuta nafasi hiyo ili wajue ujinga wao una Athari kiasi gani siku ingine piga kimya acha takataka ziende jalalani.
Mwanzo nilijua anataka kuelewa kumbe anataka league nimeshaachana naye mkuu.
 
1. Mine boy - Peter Abraham
2. Ndoto ya mwendawazimu (Almasi za Mwadui) - Eddie Ganzel
3. Sanda ya jambazi - Hammie Rajab
4. Pili Pilipili - Faraji Katalambula
5. Miradi bubu ya wazalendo
6. Kanisa katoliki na siasa za Tanzania
 
Mimi ni mtu ambae nipo inspired sana kwenye kusoma vitabu ..nipo chuo najiendeleza lakini mambo yanakuwa mengi mood ya kusoma vitabu nakosa kabisaa.
Naomba ushauri nifanye mwaka 2025 ni some vitabu Kwa namna yoyote ilee..
 
Kwanza punguza matumizi ya mitandao ya kijamii halafu huo mda replace na kusoma vitabu lakini pia unatakiwa uwe unatumia dictionary ili iwe rahisi kuelewa baadhi ya maneno ambayo yanajirudia mara kwa mara.

Usiache kusoma siku tatu mfululizo kwani kufanya hvyo unatengeza mazingira ya kusoma kwa mtiririko lakini pia unatakiwa uwe na notebook kwa ajili ya SUMMARY ya ulichokisoma.

Mitandao ya kijamii time management lakini pia unatakiwa uwe na muda maalum wa kusoma.

Anza kusoma kitabu cha atomic habits na power of your subconscious mind vitakusaidia sana kuwa na nidhamu ya kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…