Vitabu vitabu vya ujasiriamali wa Kilimo cha mboga mboga,ufugaji na matunda

Vitabu vitabu vya ujasiriamali wa Kilimo cha mboga mboga,ufugaji na matunda

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
452
Husika na kichwa cha habari kwa anaeitaji kitabu cha ukulima wa vitunguu,mboga zote na matunda na ufugaji wa wanyama tajwa hapo chini anaweza kuniPm bei ni Elfu saba tu {7000/=}kwa kimoja na elfu ishirini {20,000/=} Kwa vitatu utakavyochagua.Gharama Za kudeliver ni zangu na mikoani MTATUMIWA Kwa gharama zenu
NB:Bei zimepanda kufidia gharama Za delivery

UFAFANUZI
1.KILIMO CHA MBOGA
Vitunguu,Nyanya,kabichi,karoti,mchicha,pilipili hoho na Madawa ya kudhibiti magonjwa na wadudu waharibifu
2.UFUGAJI BORA WA KUKU
Kuku wa kienyeji na kisasa
3.KILIMO BORA CHA MATUNDA
Michungwa,Miembe,Migomba,Minanasi,Mipapai,Mipesheni na Matikiti maji
4.USINDIKAJI WA MAZIWA
Mtindi,Yoghut,Siagi,Samli,Jibini na Askrim za Maziwa
5.UFUGAJI BORA WA MBUZI
6.NG'OMBE WA MAZIWA
7.NG'OMBE WA NYAMA(fattening)
8.UFUGAJI BORA WA NYUKI NA MAZAO YA ASALI NA NTA
9.UFUGAJI BORA WA NGURUWE
10.KILIMO CHA UYOGA

Karibuni wote
Cc
Kibananhukhu
Neema prosper
KeyserSoze
Chuvachok
Feiaidan
Nikolaevich
Xfactor
KeyceNjou
Jayonepey
The stranger
Maundumula
 
Jina la Kitabu ?; Mwandishi ? na karne hii ya Teknolojia unaweza hata ukivipiga picha na kuattach cover yake hapo juu ( pia sio vibaya hata ukaweka contents na idada ya kurasa ili mtu ajue anachonunua
 
Nahitaji cha ufugaji kuku na mboga zote ikiwa ni pamoja na nyanya, biringanya, bamia, hoho n.k. Niletee namba yako ya Tigo au Voda. Nitakueleza pa kuvileta au nivipitie kama haupo mbali na mimi.
 
Nami nahitaji,nipo mbezi shamba,naomba namba yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Acheni usumbufu! Unataka uandikiwe mpaka idadi ya kurasa!

Mkuu wewe unaona usumbufu ila huu ni msaada kwa muuzaji.., hivi unajua kuna vitabu vya ufugaji wa kuku au kilimo vingapi duniani, au unajua ukulima wa mboga upo deep kiasi gani ?, Kwa kuweka kwake kurasa itaonyesha ni deep vipi au summary vipi kitabu chake kilivyo.., Pia huenda mimi ninataka kilimo cha Migagani au Michunga kwenye mboga au kulima kwenye makopo au magunia sasa kwa kuweka kwake contents nitajua ninachokitaka kimo au pengine sijui kwamba sijui kitu fulani kwahio nikiona kwenye contents nitajua kwamba na hiki kipo hence kununua

Tupende kujifunza kwa waliofanikiwa wanavyofanya mambo (angalia kwa wauzaji vitabu kama Amazon) wanaweka contents na image ya kitabu as well as pages, Pia kwa ushauri wa huyu bwana kama anaona kazi kuweka picha kila saa anaweza akatengeneza Blog (which is free anyway) na hapa kuweka link kwamba kwa maelezo zaidi kuhusu kitabu cheki hapa...

Ni ushauri tu wa bure, unaweza kuuchukua au kuacha ila itasaidia sana kwa muuzaji kuuza zaidi (na kuepuka malalamiko kwamba ulichoniuzia sicho) na pia mnunuzi kupata kile anachotaka
 
Kwa wadau wenye interest siku ya jumamosi ntakuwa pale sea cliff parking lot mnaweza kunitembelea mkapata vitabu na organic foods straight from Shambani Morogoro,karibuni sana
 
NB:Kama wewe siyo mnunuzi acha wenzako wafaidike mlioacha namba zenu ntawapigia simu au pia waweza kunipata kwa 0758303090
 
NB:Kama wewe siyo mnunuzi acha wenzako wafaidike mlioacha namba zenu ntawapigia simu au pia waweza kunipata kwa 0758303090

Mkuu kuwa na busara,wenzako huwa hawakatai ushauri hata ukiwa ni wa kijinga.Huo ushauri uliopewa ni mzuri sana,mkuu hapo juu yupo sahihi kabisa unless unaogopa kukosa wateja sababu unajua kitabu chako hakipo nondo.By the way kuongezea ushauri zaidi,siku hizi wenzako wanakuwa na soft copy pia,unatumia mpesa au tigopesa then unatuma soft copy kwenye email

Kila la kheri
 
Mkuu kuwa na busara,wenzako huwa hawakatai ushauri hata ukiwa ni wa kijinga.Huo ushauri uliopewa ni mzuri sana,mkuu hapo juu yupo sahihi kabisa unless unaogopa kukosa, "muuzaji nawasiwasi nae,ukiwa na biashara hautakiwi uwe mkali hvo, pia mnunuzi makini lazima awe na full data za anachohitaji, kuwa perfect mkubwa acha hzo za 1947
 
Back
Top Bottom