Replies
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,497
- 452
- Thread starter
- #61
Huyu mkuu nimeshindwa kumuelewa kabisa, last wiki nimempigia simu akasema yupo k/koo nikamweleza nilipo tukakubaliana tukutane stesheni jioni lakini alisema kimebaki cha ufugaji wa kuku nikamwambia lete hicho tu.cha ajabu kaingia mitini hadi leo, wafanya biashara wa kibongo cjui kwanini huwa hatupo makini na kazi
Kama una shida nifuate kkoo siyo kuleta porojo Hapa JF unanunua kitabu uletewe mpaka ulipo unafikiri ni rahisi kumfikia kila Mtu Kwa wakati btw hela yenyewe unayolipa ni ya kitabu kimoja-THINK BIG GARAMA YAKE ITAKUWAJE KAMA UNGEKUWA NI WEWE
WEnzako Mbona wanafuata