Vitabu vitakatifu vimekataza kuabudu miungu. Je, kuanzisha uchifu siyo kupingana na maagizo ya Mungu? Wanasiasa mnamkufuru Mungu

Naona pointi yako sasa kwamba elimu yako ya ^Afrika asilia,^ umeweza kuvumbua mtandao wa JF na kutengeneza smartphone yako and so forth.

You must be a wasted, defective robot or something, si bure!
 
Another brainwashed creature..hivi hizi dini za waarabu na wazungu ndio zimewaharibu hivyo..hadi mnaona asili yenu haifai wakati babu na bibi zenu waliishi hadi ninyi mkazaliwa..hii nchi haisongi mbele mana tumeacha asili yetu.

Kosa kubwa sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unamaanisha hivi viatabu vya wazungu na waarabu yaani biblia na Quran ndo vitabu vitakatifu Ila vyetu si vitakatifu. Aise huu ukoloni sijui utaisha link.
 
Ni bora kuabudu miungu yetu kuliko hiyo miungu tuliyoletewa na wageni
 
Kitabu gani umesoma mkuu?
 
Umeandika niliyotaka kuandika, na hii ndio maana halisi ya kuwa brainwashed.. Kila kitu chenye asili yetu tunakichukia na kuona hakina maana na mbaya zaidi wale waliowatesa na kuwaua wazee wetu ndio wametuelekeza namna ya kumjua MUNGU

Lakini huo uchifu ulifutwa na Nyerere alipokuwa anapambana kuondoa ukabila na akafanikiwa sasa kurudisha uchifu inamaana tunataka kurudisha ukabila na je kwanini sheria iliyofuta uchifu habadilishwi maana ilivyo sasa kufanya kazi za uchifu ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za nchi yetu. Sasa nani atalinda katiba na sheria zetu kama zinakiukwa mchana kweupe namna hii
 
Unaweza kuwa sahihi. Huko Kaskazini mwa Nigeria baadhi ya watu wamekuwa na mawazo kama yako. Wakaamua njia ya mkato ni kuanzisha vuguvugu la boko haram. Naona hakuna utulivu tena. Sasa unashauri tufanyeje baada ya kuingizwa mkenge na wazungu na/au waarabu
 
We need emancipation of mental slavery
 
Ngoja Ukame na Majanga yaipate Nchi ndio watamjua MUNGU
 
Hawa watu wanaamini katika ushirikina ili wakalie nafasi walizopo, unapowaasa kuhusu Mungu ni sawasawa na kumpigia mbuzi gitaa.........
 
Huyo tayari kachagua upande kwa kumwabudu shetani msihangaike nae maana muda si mrefu atapata kinachomstahili
 


Mambo ya imani tu. Kwanini vitabu vyako viwe vitakatifu na hivyo vya kimila visiwe vitakatifu! Hii imani yako binafsi haina maana ni ukweli
 
Unaandikaje uozo kama huo Mkuu kwenye nchi isiyokua na dini kwahiyo Tz saizi imekua ya kichifu tunachopinga apo ni siasa za ukanda tu basi sababu uchifu umejikita katika kanda mbalimbali,,, lakini sio kusema uchifu una uhusiano na uchawi au miungu huo ni ujinga kwa nchi kama yetu kwanini wewe unataka nchi iendeshwe kiislamu na kikristo wakati wapo wadau wa dini nyinginezo, tena ikiwa n hizo dini za asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…