Vitabu vitakatifu vimekataza kuabudu miungu. Je, kuanzisha uchifu siyo kupingana na maagizo ya Mungu? Wanasiasa mnamkufuru Mungu

WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu

Hivi afrika kabla wazungu na waarabu kutuletea
Dini zao
Sisi tulikuwa tunamuomba mungu gani????
Beatrice Kamugisha

Ova
 
Beatrice Kamugisha

Ova
 
Hivyo vitabu vyenu vinaitwaje?
Hizi mentality mtatawaliwa Sana mpaka mtakoma. Ndo Mana m anirhara Sana unakuta mtu anatana kitu flani kwa kiswahili na anachomekea hapohapo halafu anaita eti kwa lugha ya kitaalamu. Kwa hiyo wazungu ndo Wana lugha ya kitaalamu sisi hatuna!!
 
Mayowe mengi sana
Kwani vitabu hivyo havikukataza uongo na uzinzi pia?

Hebu kuweni na akili kidogo
 
Hizi mentality mtatawaliwa Sana mpaka mtakoma. Ndo Mana m anirhara Sana unakuta mtu anatana kitu flani kwa kiswahili na anachomekea hapohapo halafu anaita eti kwa lugha ya kitaalamu. Kwa hiyo wazungu ndo Wana lugha ya kitaalamu sisi hatuna!!
Wewe una stress nini??
 
Hivi afrika kabla wazungu na waarabu kutuletea
Dini zao
Sisi tulikuwa tunamuomba mungu gani????
Beatrice Kamugisha

Ova
Tulikua tunaamini katika Mungu, miungu yetu ya asili, lakin kuna wengine waliamini mizimu, majini na kufanya matambiko n.k, labda nimuombe alieandika thread akasome vizuri kuhusu ATR pamoja na islamic and Christian religion hapo atapata majibu.
 
Sawa sawa
Maana kabla wa wazungu na waarabu kuja tulikuwa tunaabudu kwa style zetu na kweli mambo yetu yalikuwa yanaenda na tulikuwa tunaishi vizuri kabisa
Waljpokuja wazungu na waarabu ndiyo waliaribu mfumo wetu wote wa maisha
Tulivurugwa kiuchumi hadi kijamii
Ndomana mpaka leo afrika tuna suasua

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…