πŸ“š Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana πŸ“š

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,700
Reaction score
2,904
πŸ“š VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA πŸ“š

Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi?

Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za Msingi za Swahili Medium na English Medium, kwa madarasa yote kuanzia Awali hadi Darasa la VII.

Tunapatikana na:

  • Vitabu vidogo vya masomo yote
  • Vitini vya mazoezi na marudio
  • Mitihani ya kila mwezi, muhula na mwaka
  • Mock Examinations
  • Past Papers zenye majibu
  • Assessment na Worksheets
  • Vifaa vingine vya kujifunzia vya elimu ya msingi

βœ… Bei nafuu
βœ… Vifaa vyenye ubora na vinavyoendana na mtaala wa Tanzania
βœ… Huduma kwa shule binafsi, serikali, walimu, wazazi na wanafunzi

Kwa maelezo zaidi au kufanya oda, wasiliana nasi kupitia uzi huu.

Karibu upate vifaa bora vya kujifunzia vinavyochangia kuongeza ufaulu wa wanafunzi.

NB: Uwanja wa meseji upo wazi muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…