Vitabu vizuri vya A-Level

Mp nyanso

Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
95
Reaction score
8
jaman mawazo na ushaur wenu wa kujenga, ishu ni kuelewa vtabu vzur na rejea za kutumia katka masomo ya history, geography, kiswahl na general studies vnavyolandana na muhtasar mpya-kidato cha tano na sita
 
History vitabu vizuri ni. *zisti kamili* mwl kati na shibitali. Geography ni. DT msabila na kiswahili ni j a masebo kubwa
 
History tumia "mastering of history"ya mwl kato, vingne vlvyoandkwa na zisti kamili,shibitali afu changanya na kitabu kimoja kinaitwa WORLD HISTORY kama reference! kiswahili tumia waandishi kama saluhaya 1&2, pamja na nyambari 1&2 japo wengi wanamdharau lakini anasaidia sana kwa vtabu...!geog na gs nimesahau maana imekuwa ktambo kdogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…