Vitabu vya aliyekuwa mwandishi mashuhuri marehemu Ben R. Mtobwa

Vitabu vya aliyekuwa mwandishi mashuhuri marehemu Ben R. Mtobwa

Habari?

Ninaomba nichukue fursa hii kuwatangazia wale wote waliokua wanatafuta vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwa sasa vinapatikana tena.

Orodha ya vitabu hivyo ni kama ifuatavyo;

1. Kiguu na njia 15,000
2. Zawadi ya Ushindi 10,000
3. Pesa Zako Zinanuka 10,000
4. Dar es Salaam Usiku 10,000
5. Kimbia Helena Kimbia 5,000
6. Roho ya paka 10,000
7. Tutarudi na Roho Zetu? 10,000
8. Salamu Toka Kuzimu 10,000
9. Malaika wa Shetani 10,000
10. Mikataba ya Kishetani 10,000
11. Mtambo wa Mauti 10,000
12. Najisikia Kuua Tena 10,000
13. Mikononi mwa Nunda 10,000
14. Lazima Ufe Joram 10,000
15. Nyuma ya mapazia
16. Dimbwi la damu

Kwa sasa vitabu hivi vinapatikana Posta mpya karibu na sanamu la askari.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa namba 0763044459 au 0712504985.

Karibuni saaaaaana.
[emoji1431]
Huyu mwamba pamoja na Elvis Musiba, walitisha sana, laiti hivi vitabu vingekuwa vinatumika ma shuleni,
IPO siku tutatengeneza movies au series za hv vitabu. ,
 
Back
Top Bottom