Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo.
Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano wake na hata ukiangalia mwanzo wa ulimwengu aliummbwa adamu hivyo kwa nadharia hii wengi wa waandishi na viongozi wa dini wakaamua wampe mungu cheo cha bwana, baba kulingana na Ukristo.
Waislamu hawakuweza kutoa picha ya mungu na wao wakasema kuwa mungu hana mtoto,wala mwana na hakuna kinachofanana kabisaaa.
Baadhi ya imani au vyama kama freemasons na illuminate wao wanaamini kuwa mungu ni mwanamke sababu ni kwamba mungu ni upendo na kwa kiasi kikubwa mwanamke ndiye nyenzo ya upendo.
Binafsi,naona Mungu ni nguvu/Energy ambayo inasambaza nguvu katika vyanzo mbali mbali za nishati mfano maji,binadamu,jua,nwezi,moto n.k na uwepo wa nguvu hiyo ndiyo maisha yetu yanaendelea kuwepo.
NAWASILISHA