Vitabu vya elimu ya fedha na uwekezaji vinauzwa

youngin

Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
17
Reaction score
15
Vitabu zifuatavyo vinapatikana na vitaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupata elimu ya fedha na uwekezaji.

1. Increase your Finanncial IQ by Robert Kiyosaki
2. School of money by Olumide O Emmanuel
3. Cash flow Quandrant by Robert Kiyosaki
4. Guide to Investing by Robert Kiyosaki
5. Rich Dad Poor Dad by Robert Kiyosaki
6. Retire Young Retire by Robert Kiyosaki
7. The Richest man in Babylon by George Clason
8.The Psychology of Money by Morgan Housel

Bei zake ni TZS 20,000.
Vitabu hivi vinapatikana kwa bei nafuu kwa mawasiliano zaidi 0621402295 au 0746617796





 
Wala Usihangaike Fika Bungeni Dodoma Lameck Atanunua Vyote Akajifunze Utunzaji
 
Mdau hongera kwa bandiko lenye mtazamo chanya na wa kimaendeleo.

Mko wachache sana wa aina yako huku mitandaoni siku hizi....uzi makini kama huu hautapata wachangiaji wengi maana asilimia kubwa huku wako kwenye mambo ya ngono na siasa chafu (uchawa).
 
Nimeandika vitabu vya English na Math Mitihani 20 na majibu yake kila kimoja kwa shule za msingi.

Ninauliza nitapata changamoto yoyote kuviuza nikishaprint? Kuna katazo lolote? Utaratibu upoje?
 
Shukran sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…