Vitabu vya Nyangine vichomwe moto popote vilipo

Iko wapi EMAC wala rushwa tu wale,Tumeletewa OXFORD bora Nyangwine.
Kitabu cha Oxfort Art kina page 16 topic 8, rejea Civics f I Oxford.
Co kwamba nampinga Mmada, namuunga mkono ila tuangalie Upande wa ii.
Serikal ndo ina jukumu la kuangalia haya,i wap,yu wap Kawambwa,yu wapi Kikwete, 'et ufaulu umeongezeka' Sasa hv A=75-100. Wastan uneshushws,watoto wetu tuwafiche wapi. Wa kwao wanasoma International. Mawazl wanabebbwa na mbeleko za chuma,wala rushwa kama EMAC wanabadilishiwa nyadhfa,tuache masikini tufen na umaskin wetu.
Bodi ya mikopo nayo ni ya watt wa wakibwa.....downloading....wait...!
YtaraJr.™
 
Kuna mtu amezungumza habari ya competence. yeah! hiki ni kitu muhimu sana katika uandishi. Mfano katika somo La kiingereza ukimwandikia mwanafunzi wa darasa la tatu "Present continuous tense" unakuwa umemchanganya na hayo maneno na humjengei ujuzi au hiyo competence lakini ukitumia neneo "Now" ukaweka na kipicha pale kama vile mtu akikimbia kisha ukaandika "... is running." na kuonyesha mifano zaidi mtoto anayesoma hicho kitabu atapata concept haraka kuliko ungeanza na maelezo kama "present continuos tense is formed with ..." Baadhi ya waandishi huandika vitabu kwa mtindo ambao haumjengei msomaji competence na kumfanya asielewe hii hu distort kabisa mind ya msomaji.
 

Mkuu kuna baadhi ya meneno uliyotumia yana ukakasi.
Mfano KUDHIBITISHA, EASTHETIC, SUBSTENTIATE, TABULARASA!

Hebu yatupie macho mkuu. Au ni ulimi hauna mfupa?!
 
Binafsi mfumo mzima wa kujifunza ni tofauti sana na miaka ya nyuma. Wanafunzi wa sasa wanapenda majibu tu tena marahisi, kusoma vitabu detailed no! Vitabu vya Nyangwine havimfikirishi sana mwanafunzi. Mwishono akiulizwa essay questions hawezi kujieleza kwani scope yake inakuwa ndogo. Sasa basi: walimu wasitoe maswali ya moja kwa moja kutpka vitabu hivyo, vitabu hv vitumike kwa fast revisions tu na siyo kama text book.
 
Vitabu vingi ni majanga makubwa. Kwa mfano Kireri au vivavyochapishwa na Adamson ni majanga. Viko photocopied, pictures zina miss kwa baadhi ya vitabu, spelling and so many. Nyambari Nyangwine janga lingine kubwa kwa sylabus za sekondary. Review books za masomo mbalimbali primary na secondary majibu ya uongo kabisa. Wizara ya Elimu kupitia Taasisi ya Elimu (TIE) mmeshindwa kazi. Ni kwa nini wanafunzi wasifeli. Udhaifu na ulegelege. Halafu wakahonga wakapiga majungu Oxford ambao ni publishers wazuri. Tanzania mufilisi.
 

kusoma bila kuelimika ni hatari kwa ustawi wa taifa..
kutumia lugha ya chafu ni kufilisika kwa uwezo wa kujenga hoja.
ili ucheze na zombi lazima uwe zombi
 

mkuu, baadhi ya walimu bila kitabu cha nyangwine hawainggii darasani. hapana chezea kizazi cha dotcom.
mwalimu "anayewasumbua" wanafunzi kwa kuwataka watafute maarifa bila kuwaruhusu kutumia nyangwine ni kama amewakata vichwa.

watamchukiaaaa
 
ni kweli mkuu, ameokoa elimu hasa kuanzia mwaka 2007-2013
 
kuna kingine cha Fundamentals of Biology book two kimeandikwa na G.G.Geofrey & Mwaniki kinapotosha kabisa naquote kama kilivyoandika "the left auricle receives oxygenated blood from the lungs via pulmonary artery" pg 109. kitu ambacho sio kweli. najiuliza hivi vitabu havina wahariri au inakuwaje maana vinapoteza watoto kabisa na pia vinanunulika sana.
 

cc to all who support this , nataka maelezo, hata hoja za mkoba kwenye topic ya leo hapa hazina mashiko.
 

magezeti ya udaku yako wapi? Jibu hoja na si porojo, nilitoa mfano wa vitabu vya wakamoga maths mniletee ubovu wake hapa?mkishindwa kupata ushahd mjue mjinga ni anayeropoka bila kujua. Mana hvyo ni nyangwine products.

Oxford walitoa lundo la vitabu vya hovyo. Na vimethibitika kuwa havifai na nembo ya emac.

Tatizo nyangwine ni mtanzania, na wengi mko brain washed na western system.
 
Nyangwine atabaki kuwa nyangwine tu ni mmoja wa watanzania aliyeona tunaweza na sisi kuandika vitabu vyetu la sivyo tungeendelea kusoma vitabu vya british empire hata kwenye history.
 
Nyangwine atabaki kuwa nyangwine tu ni mmoja wa watanzania aliyeona tunaweza na sisi kuandika vitabu vyetu la sivyo tungeendelea kusoma vitabu vya british empire hata kwenye history.

Ndio maana mnafeli sana nyie..nyangwine anaandika utumbo mtupu eti mnamsifia
 

wewe utakuwa umeoza akilini, hujui kitu. Baki kama ulivyojifunza kutoka kwake.

ushahidi unaotaka wote ni utumbo tu. Hujui uchambuzi utajua utafiti? au umetumwa. Haya na marks wamewashushia mshindwe wenyewe
 
Ndio maana mnafeli sana nyie..nyangwine anaandika utumbo mtupu eti mnamsifia

Ukibishanao sana utagundua unabishana na mbuzi waliozoeshwa kula mashudi hawajui kujitafutia...yaani mtoto atakuwa -------- sana, kutetea nyangwine...shule maarufu za wajuzi zime[iga mafuruku wanafunzi kubeba vitabu vya huyu jamaa wao wanatetea..usipoteze muda wako mkuu, wameshakwisha:hail:
 
wewe utakuwa umeoza akilini, hujui kitu. Baki kama ulivyojifunza kutoka kwake.

ushahidi unaotaka wote ni utumbo tu. Hujui uchambuzi utajua utafiti? au umetumwa. Haya na marks wamewashushia mshindwe wenyewe
i am arguing with a tabularasa. nani kashushiwa marks? sifa za mtu aliye na uwezo mdogo ni kushindwa kujibu hoja, i dont wonder how less intelligent you are, kwa taarifa yako i got my education from a best school where by we possess many varieties of materials, at only form one i could read a pile of big books not even in syllabus as provide by the school, but we never ignored nyangwine's books. and for your information am not a beneficiary of those books.

kwa kuwa huna ushahidi na umeshindwa kujibu, its like arguing with a fool.

i completed my education secondary education with a difficulty combination that i managed, and a difficulty faculty in higher studies, alafu unaniona sinazo. bakia hivyohivyo kwa sababu hunijui. but am far from you.
 
what distinctive achievement have you done so far with your education? poor you, a country has all time suffered from no technology, if your education is a marks orinted one you still have a very poor education, all with good education reach a world of science and innovation by innovating something.

limtu ilmekaa linajisifia limesoma bila kutafuniwa, lakini likulizwa limefanya nini hakuna, hao wa zamani kabla ya nyangwine basi wangeifanya tanzania kama marekani, lakini ni afadhali ya leo kuliko jana, hakuna kitu kimepatikana cha kujivunia, zaidi ya kusikia mizee ikijisifia tu, sisi ndo tulisoma bwana enzi zetu, ukiliza what unique did you do? NOTHING
 
Ndio maana mnafeli sana nyie..nyangwine anaandika utumbo mtupu eti mnamsifia
WEWE mbaye hukusoma vitabu vya nyangwine umefanya nini cha maana? umegundua hata kijiko? ama unapiga kelele tu? ama ubora wa elimu yako ni cheti?

njoo ujibu ili nione nini tofauti yako na wale waliosoma elimu ya vitabu vya nyangwine, utajikuta upo kwenye kundi hilohilo tu maana hakuna kitu umefanya na hiyo elimu ya vitabu vya zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…