Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kakangu anaye mtoto anasoma sheria katika chuo fulani hapa bongo, ameniomba list ya vitabu vilivyoandikwa Kitanzania vya sheria vinavyoweza kumsaidia dogo chuo amnunulie. Naamini Maprofesa wetu watakuwa wameandika andika, navikumbuka vya ?fimbo na Dr Tenga, nimemrushia ile ya land. kwa wanaofahamu tafadhali, naomba list ya vitabu vya sheria vilivyoandikwa na Watanzania (kwa maana kwamba mtu aliyeandika akiwa nje ya Tanzania anaweza asiwe na uwelewa mzuri wa legal system ya Tanzania). please, weka list hapa chini.