Vitabu vya shule Kenya vyamtukana Mtume Muhammad

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kitabu cha kufundishia habari za uislamu cha darasa la pili nchini Kenya imebidi kuondolewa kwenye muhtasari baada ya wazazi kukishtukia kikimtusi Mtume Muhammad s.a.w.

Katika kitabu hicho kuna picha iliyotajwa ndiyo ya Mtume s.a.w ambapo watoto wanatakiwa waikamilshe kwa kuipaka rangi ili ionekane sura yake.

Katika kujitetea kwake meneja wa kampuni hiyo bi Josephine Wanjuki. amesema ameshangaa picha hiyo kujipenyeza kwenye kitabu hicho na kwamba wanasikitishwa sana na hali hiyo.Kauli hiyo imetolewa baada ya barua ya waislamu waliyoiandika kwa wizara ya elimu kulalalmikia upotofu

====

A Kenyan publisher has withdrawn a school book that included a drawing depicting Prophet Muhammad following an outcry by Muslim leaders and parents.

They complained that it was blasphemous to draw the prophet and to ask pupils to colour in the illustration.
Mentor Publishing Company said it regretted the "grave" mistake in the book on Islamic studies for pupils in the second year of primary school.

About 11% of Kenyans are Muslims, the second largest religious group.

Depictions of the Prophet Muhammad can cause serious offence to Muslims, with most of Islamic religious leaders saying that tradition explicitly forbids images of Prophet Muhammad and Allah (God).

A Muslim scholar from the coastal city of Mombasa, Sheikh Rishard Rajab Ramadhan, told the BBC that the book "dangerously" misled young children.

"No-one should imagine, leave alone attempt, to draw Prophet Muhammad. This can even cause war," Mr Ramadhan said.

In a letter to the Muslim community, the publisher said it had come to its attention that the content in one of its books, Mentor Encyclopaedia Grade 2, was "sacrilegious to the Islamic faith".

The drawing had been "inadvertently inserted" in the book, and "mistakenly identified it as the image of Prophet Muhammad", said Mentor director Josephine Wanjuki.

"We sincerely and wholeheartedly apologise for the error and we commit to ensure that such an error will never be repeated," she added.

The publisher said it would immediately remove the offensive drawing from all subsequent editions and has committed to work with the Muslim Education Council to review all its books.

All teachers, students and school administrators holding copies of the book have been advised to return them to the publisher.

Mr Ramadhan welcomed the move to recall copies of the book, but urged publishers to consult Muslim leaders before publishing Islamic books.

Religious studies are part of the curriculum in Kenyan schools. The issue of depicting Prophet Muhammad has been a long-running controversy and has inflamed tensions, especially in Europe.

In 2020, a school teacher in France's capital, Paris, Samuel Patywas was beheaded after using cartoons of the Prophet Muhammad during a lesson about freedom of speech.

In 2021, a teacher at a school in the British town of Batley was suspended after protests from Muslim parents for showing an "inappropriate" cartoon of Prophet Muhammad.

The teacher was later reinstated. An investigation found the teacher did not intend to cause offence by showing the image.

There is no specific or explicit ban in the Quran, the holy book of Islam, on images Prophet Muhammad.

But there is a reference to not depicting Allah and many Muslims believe the same applies to Prophet Muhammad.

BBC

Ikumbukwe wiki mbili zilizopita waislamu Tanzania walitoa tamko la hofu waliyokuwa nayo kuona nia ya serikali kutaka kupotosha dini yao kupitia mihtasari ya shule.
 
Katika kujitetea kwake meneja wa kampuni hiyo bi Josephine Wanjuki. amesema ameshangaa picha hiyo kujipenyeza kwenye kitabu hicho na kwamba wanasikitishwa sana na hali hiyo.Kauli hiyo imetolewa baada ya barua ya waislamu waliyoiandika kwa wizara ya elimu kulalalmikia upotofu
Mmmh safari ni ndefu, hao wakenya nao hawasomo alama za nyakati, wanaona sasa exageresheni, kumbe siku hizi kumchora mtu ni kumtukana!!
 
Hebu tuweni wa kweli; hivi Mohammed nje ya kuanzisha uislam ni kitu gani kingine cha maana ambacho mtu mwema anaweza kukiiga? Or let me put this way, Mohammed anaweza kua role model wa mtu yeyote anaetaka kua mtu wa maadili?
 
Mtume

Muhammad si muanzilishi wa dini ya kiislamu! Nani amekuambia mtume muhammad ndiyo muanzilishi wa dini ni Nani? Hauna akili hata kidogo mpumbavu wewe
 
Kitu pekee ambacho Wakristo wana tofautiana na Waislamu ni matusi, when it comes to kutetea imani, Waislamu huaga hamna uwezo wa kujenga HOJA zaidi ya kutukana. Iko hvi, hi habari ya kwamba Uislam umeanza kabla ya Mohammed imeanza mwaka 1992 baada ya mkutano wa Waislamu uliofanyika Abuja Nigeria, kabla ya hapo hakuna Muislam alikua akiamini hivo. Naweza kukuuliza maswali mengi ju ya hilo niku prove wrong but najua huwezi kua na majibu zaidi ya kutukana. Narudia tena, nje ya Mohammed kuanzisha Uislam, kitu gani tena unaweza kukiiga ili uwe mtu mwema katika jamii? Mohammed hana sifa hata 1 ya kumfanya awe mtu wa kuigwa, hana hata moja. Yaani hata kua baba mzuri kwa wanae, sifa hiyo hana, mume bora kwa mkewe/wakeze pia hana. Ili twende sawa, nitajie walau sifa 3 tu kutoka kwa Mohammed ambayo utasema, hi ni ya kuiga, mention 1
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-14-15-02-33-411_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    Screenshot_2024-12-14-15-02-33-411_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    234.1 KB · Views: 7

  • Screenshot_2024-12-14-15-06-54-900_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    Screenshot_2024-12-14-15-06-54-900_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    314 KB · Views: 5
  • Screenshot_2024-12-14-15-02-33-411_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    Screenshot_2024-12-14-15-02-33-411_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    234.1 KB · Views: 8
Kua na influence ndio kua mtu bora? Osama ali influence watu kujitoa muhanga ili WAFE na kuua wengine, hicho ni kitu bora? Mbona mna uelewa mdogo sana wa mambo nyie watu? Kuna mtu anaweza ku influence watu kuwaendea watu wengine kinyume na maumbile na watu wakafanya cause kuna mtu kawa influence, hiyo ni tabia ya kuiga? Well, mtu anaweza kua role model kwa mambo mabaya. Mimi nazungumzia tabia njema ya kuigwa kwamba huyu alikua baba bora, huyu alikua mtu wa kuigwa kwa tabia njema katika jamii. Hizo sifa Mohammed hana hata moja. Tafuta kwenye Quran or anywhere. Tofauti na mitume wengine, watakwambia, "kama unashindwa kumfata Mungu then igeni ninavyo fanya" maneno ya namna hiyo hutayakuta kinywani mwa Mohammed, hakuna. By the way, hata yeye hajawahi kiwathibitishia wafuasi wake kwamba na yeye atakwenda peponi, hajawahi kuthibitisha hilo. Achana na google, nenda kwenye kitabu chake, hutaona brother
 
Hebu tuweni wa kweli; hivi Mohammed nje ya kuanzisha uislam ni kitu gani kingine cha maana ambacho mtu mwema anaweza kukiiga? Or let me put this way, Mohammed anaweza kua role model wa mtu yeyote anaetaka kua mtu wa maadili?
Uislam wenyewe ndio legacy Sasa na ndio role model wetu Kwenye kila nyanja, changamoto nyinyi mnatafuta negative TU tena Kwa tafsiri yenu kwamba hii ni sawa, nyinyi enendeni na maadili ya west ndio mazuri kulelea watoto wenu
 
West wameingiaje hapo mkuu? Mbona unataka kupotosha story? Mohammed kaanzisha uislamu na Yesu ndio mwanzilishi wa Ukristo. Katika maisha ya kawaida ili uwe mtu bora nje ya dini, Mohammed hana SIFA moja ya kuigwa katika jamii. Huyu ndio mwanzilishi wa vita za Jihadi, wafuasi wake mme advance sasa hvi hadi kuundwa vikundi vya kigaidi. Anawezaje kua mtu wa mfano huyu?
 
Unahabari Muhammad saw na huyo Yesu wote ni dini Moja? Hakuanzisha vita yoyote Bali waliompiga vita ndio alipigana nao, na yeye si wa kwanza katka kupigana vita kuanzia Daudi, Suleiman, Musa ,Joshua, Ibrahim, na mitume wengine wengi TU waliopigana vita Kwasababu maalum walizopewa na Mungu wao
 
Back
Top Bottom