Helo peoplez!
Poleni na shughuli za kila siku.
Naomba msaada wa majina ya vitabu vizuri vyenye kuhamasisha kuhusiana na ujasiriamali ambavyo naweza kupata online.
Mfano kama: Rich Dad Poor Dad (hiki ninacho nahitaji vingine vya namna hii)
Thax guys.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

samahani sijaelewa hapo kwenye maandishi ya rangi nyekundu hivi mjasiriamali ni mtu wa aina ganimkuu Chasha wala usijali vitabu vina mchango mkubwa sana wa kumshawishi mtu kuwa mjasiriamali lakini pia kupitia vitabu tunajifunza mambo mengi.
BTW mimi kwa sasa ni mwajiriwa lakini pia ni mjasiriamali.
samahani sijaelewa hapo kwenye maandishi ya rangi nyekundu hivi mjasiriamali ni mtu wa aina gani
Huwezi Ukawa Mjasirimali halafu Mwajiliwa, hakunakitu kama hicho kwenye sayari hii ya Dunia,Kuna tatizo sana katuka kutafasiri ujasirimali na ni nani anasatahili kuwa mjasirimali, Kuwa Mfanya kazi ana theni Mjasirimali kuna Kinzana kabisa