Vitabu vya ujasiriamali

Vitabu vya ujasiriamali

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,849
Reaction score
2,132
Helo peoplez!

Poleni na shughuli za kila siku.

Naomba msaada wa majina ya vitabu vizuri vyenye kuhamasisha kuhusiana na ujasiriamali ambavyo naweza kupata online.

Mfano kama: Rich Dad Poor Dad (hiki ninacho nahitaji vingine vya namna hii)

Thax guys.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu neggirl

Call 0713 366 473 or 0767 277 223 kwa maelezo zaidi na msaada juu ya soft copy ya vitabu hvyo. KARIBU
 
MoneyMakers kwanini usiweke hapa hayo maelezo zaidi ili na wengine wafaidike??
 
Last edited by a moderator:
Ila hata Ukisomea Vitabu 1000 kama huna Sipirt ya Ujasirimali ni kazi Bure, Kuna jamaa angu mmoja anavyo vya kila aina na anavisoma kwa nguvu zote but mwambie kuhusu kujijili anavyo ruka, Hivi vitabu viko Kibiashara sana ingawa some time vina mafunzo mazuri, Ila mwisho wa siku uamuzi unabakia kwako, na kati ya walio Choma Meli zao moto si dhani kuna aliye soma hivyo vitabu,

Helo peoplez!

Poleni na shughuli za kila siku.

Naomba msaada wa majina ya vitabu vizuri vyenye kuhamasisha kuhusiana na ujasiriamali ambavyo naweza kupata online.

Mfano kama: Rich Dad Poor Dad (hiki ninacho nahitaji vingine vya namna hii)

Thax guys.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

The richest man in babylon
 
mkuu Chasha wala usijali vitabu vina mchango mkubwa sana wa kumshawishi mtu kuwa mjasiriamali lakini pia kupitia vitabu tunajifunza mambo mengi.

BTW mimi kwa sasa ni mwajiriwa lakini pia ni mjasiriamali.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli Mimi huwa sikubaliani nalo kwa sababu kama ni kutafuta Ujasiri basi inatakiwa uwe practicaly mtaani kwa kuangalia watu waliko kwenye biashara, hivi vitabu wako wanao visoma kama kujiburudisha tu lakini aplication zake ni hakuna,

That is why unakuta hata kuna watu wana Phd ya Entreprenership lakini hana hata Kibanda cha Kuchajisha simu, wewe unadhani sababu ni nini?
 
samahani sijaelewa hapo kwenye maandishi ya rangi nyekundu hivi mjasiriamali ni mtu wa aina gani

Huwezi Ukawa Mjasirimali halafu Mwajiliwa, hakunakitu kama hicho kwenye sayari hii ya Dunia,Kuna tatizo sana katuka kutafasiri ujasirimali na ni nani anasatahili kuwa mjasirimali, Kuwa Mfanya kazi ana theni Mjasirimali kuna Kinzana kabisa
 
me naona hapo ni kama mtu anayesoma neno potato...kuna mwingine atalitamka potato kama lilivyoandikwa na mwingine atatamka poteto kwa kuweka swaga lakini ni jambo hilo hilo...it's just the matter of degree..unafanya ujasiliamali kwa kiwango kipi,huyo aliyeajiliwa ukikaa nae utaona mawazo yake baada ya miaka kadhaa ache ajira na kujihusisha kwenye hzo biashara percee...hlo swala la huwezi kuwa mjasiriamal alaf muajiliwa sidhani kama ni sahihi...sema in long run lazma uache kimoja ili ufanye kingine.
 
Back
Top Bottom